音乐视频

音乐视频

制作

出演艺人
Ommy Dimpoz
Ommy Dimpoz
表演者
Meja Kunta
Meja Kunta
表演者
作曲和作词
Meja Kunta
Meja Kunta
作曲
制作和工程
Eyoo Kenny
Eyoo Kenny
制作人

歌词

Eyoooh Keny
Cheusi Mangala oooh ooohh
Cheusi Mangala Eeeh ehhhh
Na si ulisema nikikupa Gari utakubali
Nkupe nyumba utakubali
Nikupe Verosa utakubali, nikuoea utakubali
Basi baby mbona hutaki mbona hutaki,
Mama mbona hutaki, mbona hutaki,
Mupenzi mbona hutaki, Mbona hutaki ,
Mama Mbona hutaki Mbona hutaki
Cheusi mangala hodari wa kupendeza
Mtoto Mashaa Allah!
Wee mangala macho ukilegeza unanikoshaa
Wanivutia nikikuona
Mi napata homa, mwisho wa reli kigoma hoi
Nashindwa hema,
Na si ulisema nikikupa gari utakubali,
nkupe nyumba utakubali
Nikupee Verosa utakubali nikuoe Utakubali
Basi bebi mbona hutaki, Mbona hutaki
Mama mbona hutaki ,Mbona hutaki
Mupenzi Mbona hutaki mbona hutaki
Mama mbona hutaki mbona hutaki
Cheupe Dawa Eeeeh eeeh
Cheupe dawa Ohhh oooooh ohh
Cheupe dawa kwakweli umeniweza haki ya mama oooh
SoMalaya Singeli utacheza muziki wa kitaa
Ndo maana naficha msimuone
(Ooh msimwone)
Wenye vijola mkashone
(Ooh mkashone)
Sisi twalicheza sebene
Mwenzako nilishataka kutoa mahari
Je, nikupe nini utakubali
Nikuhonge verosa utakubali ili
Nikuoe utakubali?
Basi bebi mbona hutaki , mbona hutaki
Mpenzi mbona hutaki, mbona hutaki
Mchumba mbona hutaki, mbona hutaki
Jamani mbona hutaki , mbona hutaki
Cheupe wangu mbona msimwone, msimwone
Anavyocheza msimwone, msimwone
Na nitafirisika sababu yeyeyeye
Nitakunywa sumu mimi sababu yeye yeye
Cheusi wangu usimwone, usimwone
Na anavyocheza msimwone
Basi mangala msimwone, msimwone msimwone eeeh eeh
Aaaaah PKP
Pose kwa pose
Meja
Kunta
Hahahahahaha
Sauti za utawala
Written by: Meja Kunta
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...