制作
出演艺人
FlexFab
表演者
Ziller Bas
表演者
作曲和作词
Pablo Fernandez
作曲
Baraka Shujaa
词曲作者
制作和工程
Pablo Fernandez
制作人
歌词
Sawa Sawa, Sawa Sawa
Sawa Sawa tunaifanya bila dawa
Sawa Sawa, Sawa Sawa
Sawa Sawa tunaifanya bila dawa
Sawa Sawa okay, Kama Kawa all day
Sawa Sawa tunaifanya bila dawa
Sawa Sawa okay, Sawa Sawa all day
Sawa Sawa tunaifanya bila dawa
Sawa Sawa okay, Kama Kawa all day
Sawa Sawa tunaifanya bila dawa
Sawa Sawa okay, Sawa Sawa all day
Sawa Sawa tunaifanya bila dawa
Sawa Sawa okay, Sawa Sawa all day
Sawa Sawa tunaifanya bila dawa
Sawa Sawa okay, Sawa Sawa all day
Sawa Sawa tunaifanya bila dawa
Mziki kwetu haupotei
video zimepanda bei
Siku zote Saka pay
akuna time ya kuslay
Wapambe low wanalay
nawakaba Koo apana sai
Pochi Nene vanny ray
Mawaki wanapave de way
I got the juice sauce
fuck I’m on toes/
Fuck I’m on toes
No time to loose coz
Namala uboss here Rick Rozzay
Mola niepushe nuksi zitoke
game marathon nami kipchoge acha mi nitoke
wanafki wanatana mpaka mi nitoke
Mchezo na mimi kama jicho na kope
Abracadabra kama babu niqqa
Young sawa sawa mi shupavu niqqa
Sawa Sawa okay, Sawa Sawa all day
Sawa Sawa tunaifanya bila dawa
Sawa Sawa, Sawa Sawa
Sawa Sawa tunaifanya bila dawa
Sawa Sawa okay, Kama Kawa all day
Sawa Sawa tunaifanya bila dawa
Sawa Sawa okay, Sawa Sawa all day
Sawa Sawa tunaifanya bila dawa
I’m so easy easy
Ila mida utanipata nimesizi
Wanafreeze, sababu mi ni jinamizi
My people they know
That I’m keeping it real
Rare kunipata mimi nikikosea
Hawajui mimi nakotokea
Niko focus kamwe siezi potea
Sawa sawa Bas I’m on the air
Rare kunipata mimi nikikosea
Hawajui mimi nakotokea
Niko focus kamwe siezi potea
Siezi potea yeah!
Sawa Sawa okay, Sawa Sawa all day
Sawa Sawa tunaifanya bila dawa
Sawa Sawa, Sawa Sawa
Sawa Sawa tunaifanya bila dawa
Sawa Sawa okay, Sawa Sawa all day
Sawa Sawa tunaifanya bila dawa
Sawa Sawa okay, Sawa Sawa all day
Sawa Sawa tunaifanya bila dawa
Sawa Sawa okay, Kama Kawa all day
Sawa Sawa tunaifanya bila dawa
Sawa Sawa okay, Sawa Sawa all day
Sawa Sawa tunaifanya bila dawa!
Written by: Baraka Shujaa, Pablo Fernandez