收听 Aslay 的 Angekuona

Angekuona

Aslay

Afro-Pop

34,132 Shazams

歌词

Mhhhh iyee Yani raha hata tukilala na njaa Kila saa nakuona mpya mamy Tena raha huku ninavimba kitaa Unang'aa hata kwenye giza mamy Basi tulia eh, kama maji kwenye mtungi baby Nitakulea eh, ilimradi unipe heshima Kama mbolea eh, nitatia ili unawiri sana Nimekuzoea eh, ukiniacha itaniuma sana Ohhh I wish angekuona maaamama Angefurahi mama (maaaamaaama) Eh mama yangu mama (maaamaama) Angefurahi mama (maaamaaaama) Ninavyomjua mama, angekupa vitenge Tena bila hiyana na kikapu cha embe Ana viwanja mama, angekupa ujenge Na ukirudi kwangu, upate muogo wa jang'ombe Umeondoka mama imekuja zawadi Nabaki nalia nalia sina budi Usije itupa mwana naogopa dhambi Ila nakuombea ulale pema kwa God Basi tulia eh, kama maji kwenye mtungi baby Nitakulea eh, ilimradi unipe heshima Kama mbolea eh, nitatia ili unawiri sana Nimekuzoea eh, ukiniacha itaniuma sana Ohhh I wish angekuona maaaama Angefurahi mama (maaaaaaama) Eh mama yangu mama (maama) Angefurahi mama (maaaaaaama) Mama mama mama (maaaaaaama) I wish angekuwepo mama (maaaaaaama) Uko wapi mama, mama mama mama Nakukumbuka me mwanao Eh mama maaaama
Writer(s): Aslay Aslay Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out