制作

出演艺人
MABANTU
MABANTU
表演者
作曲和作词
Twarha Kanengo
Twarha Kanengo
词曲作者
Mwarami kajonje
Mwarami kajonje
词曲作者

歌词

Tuliomba tusu, tukatusua wao hawavioni buku, wakabukuwa
Kongole la butu, tukabutuwa, kwenye chukuchuku, wakachukuwa (Wee)
Wee mama hakuna kufa, iipandishe kwa juu, alafu shusha
Takata kama una susa, weka mvinyo kwa glasi, asha mziki tufurahi (Aah yee)
Long time nilisaka dooh, takataka, zote nikatupa store wasaka
Wote wanaisoma show, na nawasha, sizimi mpaka waombe pole
I say yeah-yeah-yeah, na wasimame de-de-de
Kwangu mambo bie-bie-bie, wakiomba leta ge-ge-ge
Zungusha kama tulivyo (Waiter, waiter, waiter), ongeza kama tulivyo
Zungusha kama tulivyo (Waiter, waiter, waiter), ongeza kama tulivyo
(Yesa man yesa yesaya) Na nishavunja kibuku nawaza nileweje
Kisha niwaambie nilitaka nisemeje, Dj niko sawa, niondokee na tege (Teege)
Nataka niwe chakari (Mpaka munibebe, bebe-bebe)
Vishuke vitu vikali (Vitachoma pigi na tege)
Haikataii, kufa mara moja, mimi laki moja (Tee)
Kesho kaba chaii, nipe tena moja, kama tuko sober checheto
I say yeah-yeah-yeah, na wasimame de-de-de
Kwangu mambo bie-bie-bie, wakiomba leta ge-ge-ge
Zungusha kama tulivyo (Waiter, waiter, waiter), ongeza kama tulivyo
Zungusha kama tulivyo (Waiter, waiter, waiter), ongeza kama tulivyo
Kama hujalewa (Njoo kwetu), sanga limegoma (Njoo kweetu)
Uwe umeishiwa (Njoo kwetu), uta, uta tesa (Njoo kweetu)
Njoo kwetu, njoo kweetu, njoo kwetu, njoo kweetu
Zungusha kama tulivyo, ongeza kama tulivyo
Zungusha kama tulivyo, ongeza kama tulivyo
Written by: Mwarami kajonje, Twarha Kanengo
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...