音乐视频

音乐视频

制作

出演艺人
G Nako
G Nako
表演者
作曲和作词
George Mdemu
George Mdemu
词曲作者
制作和工程
T Touch
T Touch
制作人
Davy Machords
Davy Machords
制作人

歌词

Eeeh Leo hii wagod kitu fireee
Weeee Heeee twende
Gusa Gusa
Gusa Gusa
Gusanisha Gusanisha
Gusanisha(hasi na Chanya)
Gusanisha (panya na paka)
Gusanisha (Nyama kwa Nyama)
Gusanisha (mama Wee)
Mabaria Toka Buza tulifika
Waweke fence tunarukaga ukuta
Kama mafisi hatuachagi hata mifupaaaa(mifuupa)
Cha mtu mavi wanashikaga ukuta eeh
Bia tatu ila Badaeee Utajuta
Kama ulipingaa basi Leo tunafuta (eeh tulifuta)
Watu wanaruka majoka uko
Viuno vimefungwa mota ivo
Si kuchafuana boxer uko
Mjomba katangaza ndoa uko
Ayeeh Ayeeh,mama Ayeeh
Ayeeh Ayeeeh, Gusa Ayeeh
Apo Gusa unase, Gusa unase
Twende Gusa unase, Gusa unase
Gusanisha(hasi na Chanya)
Gusanisha (panya na paka)
Gusanisha (Nyama kwa Nyama)
Gusanisha (mama Weeew)
Ooh my ukikanyagia hatari ya moto inaunguza
Kucha simamia mgambo wangu rungu suuza
Ugande gande Kama ruba nipe mahaba na huba, wasema umetoka Buza
Beba bembea buruza
Mambo yente yente teke teke ongeza makeke iko mahali pake
Chombeza mbele kitu dekedeke
Chumbani karate mixer Mateke
Usije kunisusa napenda ukinigusa safari nafika hasa ukinikolezaa eeeh
Gusanisha(hasi na Chanya)
Gusanisha (panya na paka)
Gusanisha (Nyama kwa Nyama)
Gusanisha (mama Weeew)
Gusanisha Gusanisha
Gusanisha(hasi na Chanya)
Gusanisha (panya na paka)
Gusanisha (Nyama kwa Nyama)
Gusanisha (mama Weeew)
Written by: George Mdemu
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...