音乐视频

音乐视频

制作

出演艺人
Stamina Shorwebwenzi
Stamina Shorwebwenzi
表演者
作曲和作词
BONVENTURE ELIUTER KABOGO
BONVENTURE ELIUTER KABOGO
词曲作者
BEATUS NELSON
BEATUS NELSON
词曲作者
制作和工程
BEATUS NELSON
BEATUS NELSON
制作人
Stamina
Stamina
制作人
TML
TML
制作人

歌词

Verse1
Umepewa kichwa na akili/
Uweze kufikili mambo ya kifamilia na heshima ya kujisitiri /
Ili baraka zako zote ziwe dili/
Japo hauna kifua unajua kutunza siri/
Aah!
Ulipewa mdomo sio ili uniseme vibaya/
Ila unipe somo pale tuh,unapopwaya/
Dharau chuki na hasira sio vitu ulivyo umbiwa/
Ata sikio ulilo nalo sio la maneno ya kuambiwa/
Neno mama lina maana dunia/
Mungu angetuumba nyuki ningekupa sifa malkia/
Maishani we ni veta umenifunza kila kitu/
Umenipa leseni ya Maisha nayo endesha kila siku/
Brige
Uwe chizi kilema/
Bubu hauwezi sema/
Kiziwi ata kipofu kwangu mimi yote mema/
Una sifa zile zote za mwanamke/
Mpaka leo natangaza dunia nzima
Chorus
Wapekee mungu aliyeumba duniaaaa…
Wapili ni mama yangu kipenzi aliye nileaaaaa
Hizi shukrani zangu pokeaaaaa
Nisinge jua ulimwengu kama usingenizaaaaa
Verse2
Ulivyo jasiri umenitunza miezi tisa nikawa hapa/
Ungeweza kutoa mimba /
Ata kama ni nyumba ndogo wa baba haishushi heshima
Utabaki kuwa mzazi sijihesabu ka yatima/
Hauonekani kumbi za starehe/
Na tarehe msharaha unapotoka matumizi ka mpare/
Fasta ka mshare /
Bank machale/
Mbwembwe za masaki wewe unafanya tandale/
Biblia imeandika kuwa utazaa kwa uchungu/
Pole mama hayo mambo tumwachie mungu/
Ata kama ni mgumba mtoto wa mwenzio ni wako/
Kwa hiyo ukiona anayumba mrekebishe kama wako/
Brige
Uwe chizi kilema/
Bubu hauwezi sema/
Kiziwi ata kipofu kwangu mimi yote mema/
Una sifa zile zote za mwanamke/
Mpaka leo natangaza dunia nzima
Chorus
Wapekee mungu aliyeumba duniaaaa…
Wapili ni mama yangu kipenzi aliye nileaaaaa
Hizi shukrani zangu pokeaaaaa
Nisinge jua ulimwengu kama usingenizaaaaa
Hook
Uko ladhi uzalilike/
Nisitirike mi mwanao
Mabalaa yasinifike
Visa na wenye roho za choyo….x2
Written by: BEATUS NELSON, BONVENTURE ELIUTER KABOGO
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...