歌词

Jambo, jambo bwana, habari gani? Nzuri sana Wageni wakaribishwa Kenya yetu hakuna matata Jambo, jambo bwana, habari gan?, Nzuri sana Wageni wakaribishwa Kenya yetu hakuna matata Jambo, jambo bwana, habari gani? Nzuri sana Wageni wakaribishwa Kenya yetu hakuna matata Jambo, jambo bwana, habari gani? Nzuri sana Wageni wakaribishwa Kenya yetu hakuna matata Kenya nchi nzuri (hakuna matata) Nchi ya kupendeza (hakuna matata) Nchi ya maajabu (hakuna matata) Nchi yenye amani (hakuna matata) Kenya nchi nzuri (hakuna matata) Nchi ya kupendeza (hakuna matata) Nchi ya maajabu (hakuna matata) Nchi yenye amani (hakuna matata) riiba Jambo, jambo bwana, habari gani? Nzuri sana Wageni wakaribishwa Kenya yetu hakuna matata (ayeya) Jambo, jambo bwana, habari gani? Nzuri sana Wageni wakaribishwa Kenya yetu hakuna matata Bassi slow Alright All is ok mama Jambo, jambo bwana, habari gani? Nzuri sana Wageni wakaribishwa Kenya yetu hakuna matata Jambo, jambo bwana, habari gani? Nzuri sana Wageni wakaribishwa Kenya yetu hakuna matata (riiba) Kenya nchi nzuri (hakuna matata) Nchi ya kupendeza (hakuna matata) Nchi ya maajabu (hakuna matata) Nchi yenye amani (hakuna matata) Kenya nchi nzuri (hakuna matata) Nchi ya kupendeza (hakuna matata) Nchi ya maajabu (hakuna matata) Nchi yenye amani (hakuna matata) Jambo, jambo bwana, habari gani? Nzuri sana Wageni wakaribishwa Kenya yetu hakuna matata Jambo, jambo bwana, habari gani? Nzuri sana Wageni wakaribishwa Kenya yetu hakuna matata Riiba, alright
Writer(s): Teddy Kalanda Harrison Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out