音乐视频

Bwana Nipe Pesa
观看 {artistName} 的 {trackName} 音乐视频

制作

出演艺人
Orchestra Super Mazembe
Orchestra Super Mazembe
演唱
作曲和作词
Tandi Kumalo
Tandi Kumalo
作曲

歌词

Bwana nipe pesa Watoto wana njaa Lakini mke wako Anapenda kutangatanga Hata majirani Walichoka kumwona Wawa husema fungeni milango anakuja Bwana nipe pesa Watoto wana njaa Lakini mke wako Anapenda kutangatanga Hata majirani Walichoka kumwona Wawa husema fungeni milango anakuja Watu wote wa Nairobi Wakuona kila siku Kuingia nyumba zote Zaachanga kali sana Tafadhali bwana rudi Watoto wanalia Sababu mke wako Ashazoea kutangatanga Sasa majirani Walichoka kumwona Wawa husema fungeni milango anakuja Maskini Bwana nipe pesa Watoto wana njaa Lakini mke wako Anapenda kutangatanga Hata majirani Walichoka kumwona Wawa husema fungeni milango anakuja Bwana nipe pesa Watoto wanalia Sababu mke wako Ashazoea kutangatanga Sasa majirani Walichoka kumwona Wawa husema fungeni milango anakuja Watu wote wa Mombasa Wakuona kila siku Kuingia nyumba zote Zaachanga kali sana Tafadhali bwana rudi Watoto wanalia Sababu mke wako Ashazoea kutangatanga Hata majirani Walichoka kumwona Wawa husema fungeni milango anakujaaaa Wawa husema fungeni milango anakujaaaa Wawa husema fungeni milango anakujaaaa
Writer(s): Tande Kumalo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out