制作
出演艺人
Esir
表演者
制作和工程
Ogopa Djs
制作人
Ogopa DJ's
制作人
歌词
Nina mabeshte ndani ya gari (Si usaree), manze, kitu lazima ahanywe (Si usaree)
Na ngoma leo lazima kanase (Si usaree), kachongwe (Si usaree), kabambe (Si usaree)
Ikishabamba lazima katemwe (Si usaree), kisha lale lazima pakatwe (Si usaree)
Kitandani, nyumbani, atambae (Si usaree), apandwe (Si usaree), ahanywe (Si usaree)
Mi na ndugu zangu ndani ya gari yangu, mamanzi hamsini, tutafika lini?
Guaranteed, leo tunawaingia kusini, chini kwa chini, juu kwa juu, side to side till I see what's inside
Girl, it's no lie, the way you shake your behind, I'm about to lose my mind
Pick up the remote and rewind, to my car, please jump inside
Call my friends, I'll show you where we can hide, in the midst of the Pirates
You can have anything you want (Saree), you got it from the back to the front (Saree)
Nina mabeshte ndani ya gari (Si usaree), manze, kitu lazima ahanywe (Si usaree)
Na ngoma leo lazima kanase (Si usaree), kachongwe (Si usaree), kabambe (Si usaree)
Ikishabamba lazima katemwe (Si usaree), kisha lale lazima pakatwe (Si usaree)
Kitandani, nyumbani, atambae (Si usaree), apandwe (Si usaree), ahanywe (Si usaree)
Kijana amewaangushia tracks kadhaa za kuwasaidia ku-party ni nani?
Hajui rap bila E-Sir ni kama sigara bila nare, basi nifungulie njia nipate kutiririka kama beer ya Pilsner nipe futi sita nipate kuwaburudisha
Hii ni ya kila mdhii amekuwa akingojea flow ya Kiswahili, kila mnati tayari kuamka na ku-bounce kidhati
Kuingia floor katikati, kugonga wadhii bila kuwaambia samahani "A-la! Waleta balaa
I thought you're my guy, kumbe you're just another fala"
Vipi rafiki? Stahili lakini, mabeshte ninaotembea nao wamechizi, wala samaki na ndizi baada ya tizi
Nipe wakati kidogo na utawaona kwa TV, internet sites all over the PC
Waki-hang na mamanzi ijapokuwa wanati wame-dress ka ma-barbie, vinywaji ni barley, si usaree
Nina mabeshte ndani ya gari (Si usaree), manze, kitu lazima ahanywe (Si usaree)
Na ngoma leo lazima kanase (Si usaree), kachongwe (Si usaree), kabambe (Si usaree)
Ikishabamba lazima katemwe (Si usaree), kisha lale lazima pakatwe (Si usaree)
Kitandani, nyumbani, atambae (Si usaree), apandwe (Si usaree), ahanywe
Ili ngoma yangu isibambe, nakuomba lyrics zangu usichanganye
Nakuomba hio mic usinipe, unless unataka crowd iwike (Si usaree)
Shika dada karibu na wewe, chini kwa chini, bila wasiwasi
Usimwachilie mpaka ikate, nitahakikisha anawika

Written by: Isaah Mmari, Ogopa Djs