制作
出演艺人
Darassa
声乐
Nviiri The Storyteller
表演者
制作和工程
SoFresh
制作人
歌词
[Verse 1]
(SoFresh is on the beat)
[Verse 2]
Staki kukuona
Staki kukuona na mwingine, –uona na mwingine
Staki kukuona
Staki kukuona na mwingine, –uona na mwingine
[Verse 3]
Oh, jealous
I get so jealous
Anybody tries to talk to you, trying to dance with you
Oh, jealous
Do you get jealous
When the ladies scream out my name?
I wanna know before it shows
[Verse 4]
That is a human nature
I'm not the type to judge
Ikifanyika I'm so sorry
Don't act upon me, girl
[Verse 5]
That is a human nature
I'm not the type to judge
Ikifanyika I'm so sorry
But, girl, lately
[Verse 6]
Staki kukuona (Ooh na)
Staki kukuona na mwingine, –uona na mwingine
Staki kukuona
Staki kukuona na mwingine, –uona na mwingine
[Verse 7]
Oh, jealous
Oh, jealous
Oh, jealous
Oh, jealous
[Verse 8]
Nikwambie tu ukweli ukiwa kitonga
Kila mpita njia atakuja kugonga
Najua huko Dm kama wanakuzonga
Kwa gear za kubonga na gear za kuomba
Sukari yangu watu wanataka kuonja
Biria chonga mzigo wako watasomba
Na unga unga dotti fit na connect
Ukiweka post napitia comment
Sio free market hii kitu private
Wasingi wasijiachie kama consent
Wasema ndege wako ukiwa ndani
Akiwa barabarani hujui anaruka na nani
(Jealous) Sometimes mi nakuwa niko vitani
Wongo zako viwanjani na marafika company
(Jealous) Na ukiendanga kwa fundi cherehani
(Jealous) Vipimo mi jamani yaani yaani
[Verse 9]
Staki kukuona (Ooh na)
Staki kukuona na mwingine, –uona na mwingine
Staki kukuona
Ukichekeshwa na mwingine, cheka na mwingine
Staki kukuona (Ooh na)
Staki kukuona na mwingine, –uona na mwingine
Staki kukuona
Ukidensi na mwingine, densi na mwingine
[Verse 10]
Oh, jealous
Oh, jealous
Oh, jealous
Oh, jealous
Written by: Isaac Aine, Nviiri The Storyteller