音乐视频
Mac Voice 的热门歌曲
类似歌曲
制作
出演艺人
Mac Voice
表演者
Sound Boy
表演者
Hamis Shaban Makaranga
表演者
SALMIN ISMAIL HOZA
表演者
作曲和作词
Hamis Shaban Makaranga
词曲作者
SALMIN ISMAIL HOZA
词曲作者
制作和工程
Sound Boy
制作人
歌词
Next Level Music
Tuturu-tututuru
Tuturu-tututuru
Tuturu-tututuruuu
(Sound boy)
Napenda ivyo vidimple ohh
Na zuri lako tabasamu
Kwanza uko simple ohhh
Kuwa nawe siishi hamu
Yametimia maandiko baby
Penzi letu sio haramu
Navimba nimepata jikooo
Mwenzenu nalishwa vitamu
Unapendeza ukilala
Nzuri yako color
Sifa kwa mama alo kuzaa
Mungu anahumba eeh
Nawe umeumbika aaah
Mi' nakuahidi nitazikwa na wewe
Unanifariji mama, nikiwa nauzuni
Tena niahidi (aanh) utazikwa na mimi (maaa ah)
Tena unifariji mama (aanh) kwenye shida na raha zote baby
Sikuachi
Acha iwaume roho
Sikuachi
Acha iwaume roho (acha iwaume roho)
Hmm mm
Kwanza naanzaje?
Kukuacha wewe baby naanzaje?
Nambie, naanzaje?
Kuwa mbali nawe baby naanzaje?
Wewe ni tabibu n'kiwa nawe napona
Sipepesi macho naona
Baby baby naona
Nakesha ka' popo kisa kulilinda penzi langu
Na, ulipo nipo labda wachukue roho yangu
Najua watanuna (hmmm) na hili litawachoma (hmm)
Ila bado watatuona, honey honey honeyyyy weee
Mi' nakuahidi nitazikwa na wewe
Unanifariji mama, nikiwa nauzuni we
Tena niahidi (aanh) utazikwa na mimi (maaa ah)
Njoo unifariji mama (aanh) kwenye shida na raha zote honey we
Sikuachi (no siondoki kwako mmh)
Acha iwaume roho (baby mimi chizi wako nah nah)
Sikuachi (baby sikuachi mazima)
Acha iwaume roho (yiih mmmm)
Writer(s): Shabani Hamis Makaranga
Lyrics powered by www.musixmatch.com