制作
出演艺人
Arrow Bwoy
声乐
KHALIGRAPH JONES
声乐
Trio Mio
声乐
Cedo
表演者
歌词
Naamka ngware body ikona uchovu
Hangover juu ya tabia zangu mbovu
Najiconsole mi ni roho juu
Sherehe nlazima hakuna kitu uneza nishow doo
Sato ilikua ni mazishi club flani
Sina memory siezi kumbuka ni club gani
Bora form ikona tei na crush ndani
Club hopping utadhani Bugs Bunny
All i remember ni ati ilikua ni lit glass
Beer ligi ndogo kwangu iyo ni litmus
Aftermath ni me kuplay ki me mlevi
Yah mama told me that only God can save me
Niko kwa floor bado naji-recollect
Honestly mi sipendi kujipata kwa hi mess
But this the only way mi tuliza mawazo
Atakaa izo tabia zi uniwacha ndani ya trouble
Najaribu kubaki sober lakini mawazo yananipa pressure
Jehovah ninaomba uweze kuniepusa na pressure
Naomba, naomba
Nisadie
Naomba naomba
Nisadie
Ujue natrend kwenye neti eti
Sitingiki bado
Video akimeza glasi mbili-mbili mpasho
Siku umewaka kama vibiriti tano
Maaibu ya celeb ni content haikimbizi bundles
Radar
Na feel iviivi bado
Knees weak niko dizzy dizzy bado
Thats when I notice siko kwangu vile nilidhani
Here we go again
Hapa joo ni wapi kwani
Na confirm kaa niko solo
Hapa nilifika vipi kwani ni nani nilifollow
Try to find my phone
Inakaa nilipoteza
All i can see ni unga fulani imejaa kwa meza
Niko kwa floor bado naji-recollect
Honestly mi sipendi kujipata kwa hi mess
But this the only way mi hutuliza mawazo
Ata ka izo tabia zuniwacha ndani ya trouble
Najaribu kubaki sober lakini mawazo yananipa pressure
Jehovah ninaomba uweze kuniepusa na pressure
Naomba, naomba
Nisadie
Naomba, naomba
Nisadie
Mawazo zingekuwa na akili
Kichwa yangu ingekuwa imestunya
Juu pressure niko nayo nzito
Niko tempted kuanza kukunywa
Bahari ndani ya chupa
Ukizama unayumba yumba
Maskani mtaani nna kambi ya majama fulani wana pupa
Pia pressure ya pombe
Juu pesa plenty kwa pori
Presence yangu kwa bukla mnapewa povu hadi morning
Simu zimepigwa 40
Nalenga najua ni ngori
Bazenga sinanga worry
Mapema nitasema sorry
Very fast naeka simu flight mode
Mwili iko hapa akili different time zone
Kuserereka unaeza dhani by force
This the life I chose
Hosi walini diagnose mimi Oh My God
Najaribu kubaki sober lakini mawazo yananipa pressure
Jehovah ninaomba uweze kuniepusa na pressure
Naomba, naomba
Nisadie
Naomba naomba
Nisadie
Najaribu kubaki sober lakini mawazo yananipa pressure
Jehovah ninaomba uweze kuniepusa na pressure
Naomba, naomba
Nisadie
Naomba, naomba
Nisadie

