制作
出演艺人
Godsave Sakafu
表演者
作曲和作词
Godsave Sakafu
词曲作者
歌词
Tumeagizwa upendo
Dini yetu upendo
Lugha yetu upendo
Tumeagizwa upendo
Upendo huvumilia
Upendo hauhusudu
Hauhesabu mabaya
Haukosi adabu
Upendo hautafuti ya kwakwe
Tumeagizwa upendo
Dini yetu upendo
Lugha yetu upendo
Tumeagizwa upendo
Ukimpenda anayekupenda unafanya ziada gani
Mpende adui yako
Muombee anayekuudhi
Yeye yeye
Upendo onhoooo
Upendo utabaki
Bridge
ammm ammm ammm
Yereremawe
ammm ammm ammm
Yereremawe
Tumeagizwa upendo
Dini yetu upendo
Lugha yetu upendo
Tumeagizwa upendo
Written by: Godsave Sakafu