制作

作曲和作词
Edward's Ethan Okoth
Edward's Ethan Okoth
词曲作者
Brandy Njeri Maina
Brandy Njeri Maina
词曲作者

歌词

Kazi ni kazi naichapa kwa bidii
Kasi sina kasi sina haraka I believe
One step at a time, sitaki kuruka line, nikikosa leo labda yangu iko kesho
Nitafuteni leo kabla bei ipande
Mtashindwa kunishika hata mkikuja na afande
Hii maisha inabidi ujiamini
Ukishinda ume-trust the process utashangaa kwani nini?
Oe
Tokea, oe, tokea wakuone
Tokea, oe, tokea wakuone
Tokea, oe, tokea wakuone
Tokea
Jitokeze wakuone
Tokea, oe, tokea wakuone
Tokea, oe, tokea wakuone
Tokea, oe, tokea wakuone
Tokea
Jitokeze wakuone
Sikuzaliwa nikiwa shy, sijui mbona sai nina act hivi
Nyumbani wanajua mi ni star, ju juzi walinicheki kwenye Tv
But low-key I'm only holding on 'cause I can't stop
Need a police, oh my God I'm in handcuffs, I wanna be free from fear
Sitaficha white, I'll be loud and clear
Oe
Tokea, oe, tokea wakuone
Tokea, oe, tokea wakuone
Tokea, oe, tokea wakuone
Tokea
Jitokeze wakuone
Tokea, oe, tokea wakuone
Tokea, oe, tokea wakuone
Tokea, oe, tokea wakuone
Tokea
Jitokeze wakuone
Written by: Brandy Njeri Maina, Edward's Ethan Okoth
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...