音乐视频
类似歌曲
制作
出演艺人
Watu Fresh
表演者
作曲和作词
Thomas Maxmillion
词曲作者
Mr Kesho
词曲作者
歌词
(Welcome)
Hata nilewe vipi napakumbuka kwangu hata sipotei sipotei
Hata nilewe vipi napakumbuka kwangu hata sipotei sipotei
Hata nilewe vipi napakumbuka kwangu hata sipotei sipotei
Mwenzenu nakata mitungi mpaka kazini
Naingia na hang over simu ziite wanangu msiniache mwenyewe
Napendaga kukesha Kama chereko ndelemo mimoshi ya shisha
Tupokezane vibe
(Let's go go go go)
Pombe sio maziwa tena mbaya ukichanganya
Ukijichanganya itakufanyaaa mchezo mbaya
Wee ex ex don't touch me hata nikilewa don't touch me
Don't touch me
Don't touch me
Wee ex ex don't touch me
Oyaah mwanangu kunywa unachopenda kunywa usijibane kunywa
Toa chuma weka chuma
Ee mwanangu kunywa hatudaiwi kunywa kwa pesa yetu kunywa tunakunywa
Writer(s): Mr Kesho, Thomas Maxmillion
Lyrics powered by www.musixmatch.com