制作
出演艺人
Mbosso
领唱
作曲和作词
Mbosso
词曲作者
制作和工程
Lizer Classic
制作人
Star J
制作人
歌词
[Verse 1]
Dar Es Salama eeh
Moto moto moto
Liwalo na liwe leo namtangaza
Sitaki nishauriwe eeh namtangaza
[Chorus]
Huyu hapa huyu
Nampenda
Huyu hapa huyu
Ananipenda
[Verse 2]
Sijarogwa ndugu yenu
Nimapenzi nayopatiwa
Mwana kanipa kisamvu
Kipapatilo nyama ya njiwaa
[Chorus]
Huyu hapa huyu
Nampenda
Huyu hapa huyu
Ananipenda
[Bridge]
Sheba sheba
Sheba sheba
Sheba sheba
Aje jeje jeje eiah
[Verse 3]
Chuki mkichukia hamtushughulishii
Sizi la masufuria halitakati kwa jiki
Debe tupu ooh debe tupu (Acha zako kelele)
Bure wajikausha sauti (Acha zako kelele)
Tandika mkeka ukae utulie (Acha zako kelele)
Sisi bado bado (Acha zako kelele)
[Chorus]
Ooh-ooh-ooh huyu hapa huyu
Nampenda
Huyu hapa huyu
Ananipenda
[Bridge]
Sa twende tiriri
Tiriri tiriri
Waonyeshe tiriri
Ooh baby tiriri
Tiriri, tiriri, tiriri, tiriri, tiriri, tiriri, tiriri, tiriri
[Outro]
Sisemi nae eeh sisemi nae
Sisemi nae eeh sisemi nae
Huyo dunga embe (Sisemi nae)
Mkurubii azina (Sisemi nae)
U.T.I mwana kaswende (Sisemi nae)
Ooh aeeh (Sisemi nae)
Alidhani ntadhalilika (Sisemi nae)
Nimepata wakuridhika (Sisemi nae)
Ooh nishatembeza block (Sisemi nae)
Sio hadhi yangu tena (Sisemi nae)
Aeeh aeeh
Debe tupu ooh debe tupu (Acha zako kelele)
Written by: Mbosso