歌词

Eeeee eeee eee!! Uuuuuuu uuuu!! Hapa nilipo Ni kwa neema yako tu Nimefika ni kwa nguvu zako tu Nilipo toka ni mbali sanaaa Milima na mabonde nimepita mimi Hapa nilipo ni kwa mkono wako tu Nimefikaaa Ni Kwa uweza wako tuu Umenishika mkono Yesu! Nashukuru Bwana! Mi Nashukuru Nashukuru Yesu Nashukuru Wakati mwingine nilizukwa na magonjwa, tabu nyingi, Na uchumi kudidimia, Nikapata mateso sanaaa! Nilizidi kukufuata Yesuuu Kwa macho yako Ya huruma na upendo ukaniona ukasema nisiogope Ukanitia Nguvu Yesu...! Ukasema Nijipe moyo wewe uko nami Nashukuru Yesu Mimi Nashukuru Pamoja na mambo mengi niliyopita mimi Pamoja na mengi ninayopitia sasa Pamoja na ujane nilionao Mimi hee!!! Sitaogopaa.! haaa eeee...!!! Najipa moyo mimi (Najipa moyo) moyo (Siku moja nitafika) safari yangu mimi (Safari yangu mi najua nitafika tu)safari yangu Naomba uniongozee Bwana (Najipa moyo siku moja nitafika) uniongozee Bwana Unilinde na Mabaya yote Baba(safari Yangu ni najua nitafika tu .) ohhhh! Kwa kuwa Yesu ni Kiongozi wa safari Yangu mimi(najipa moyo siku moja nitafika) Wakati Huu nikiwa ni mjane Nakutazama Unifariji moja wangu Bila wewe mimi Siwezi Nikiwa na wewe nitashinda Ninakuomba Uwalinde wajane wote na uwatunze Na yatima nao wakutazama Shughulika na shida zao Yesu... Uwapiganie Baba ndiwe nitegemeo na uwatetee.! Ee Yesu.! Najipa moyo (najipa moyo siku moja nitafika) Nanyenyekea kwako yesu(safari yangu) Niongoze Baba(mi najua nitafika tu) Naomba unishike kwa mkono wako(najipa moyo siku moja nitafika) Naomba unilinde mie Baba (safari Yangu mi najua nitafika tu) mi najipa moyo Nakuamini yesu Kwa kuwa Yesu ni kiongozi wa safari yangu mimi ooh! Najipa moyo siku yangu itafika Mi bado najipa moyoo.! (Najipa moyo siku moja nitafika)sijakata tamaa Ninavumumilia Mambo yotee shida na tabu (Safari yangu ninajua nitafika tu) Bado nakutazama YEHOVA Mi bado najipa moyo (Najipa moyo siku moja nitafika) Bado navumilia shida (Safari yangu mi najua nitafika)najuaaa Utanioshaa Bwanaa Kwa kuwa Yesu Ndiye mlinzi wa safari yangu mimi.yeye (Najipa moyo Siku moja nitafikaaaaa)
Writer(s): Upendo Nkone Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out