音乐视频

精选于

制作

出演艺人
Zorah
Zorah
表演者
H-D
H-D
表演者
DJ Kassu
DJ Kassu
表演者
Rajabu Ally Rajabu
Rajabu Ally Rajabu
表演者
Hamad Said Mbaraka
Hamad Said Mbaraka
表演者
Kassumpa Adrian Machati
Kassumpa Adrian Machati
表演者
作曲和作词
Rajabu Ally Rajabu
Rajabu Ally Rajabu
词曲作者
Hamad Said Mbaraka
Hamad Said Mbaraka
词曲作者
Kassumpa Adrian Machati
Kassumpa Adrian Machati
词曲作者
制作和工程
H-D
H-D
制作人
DJ Kassu
DJ Kassu
制作人

歌词

Kassu Haaah Aaaah Aaaahh HD on the Track Mungu kaumba dunia, kaumba na upendo unipende Ina mengi dunia kuna maumivu jichunge Tulilinde letu pendo, daima mbele tusonge Usibadili mwenendo, na lugha nzuri tuongee Unanipenda, nami nakupenda pia Uko moyoni, nilisha kuridhia Usije kwenda mbali nami my dear Navyokupenda moyoni nitaumia My Love, My Love, My Love, My Love My Love, My Love, My Love, My Love Ikitokea umenimiss, basi sikiliza Radio Nina mengi ya kusema na wewe, sikiliza Radio Ikitokea umenimiss, basi sikiliza Radio Nina mengi yakusema na wewe, sikiliza Radio (Haaah Aaaah Radio) (Haaah Aaaah Radio) Mmmh!! Na kwako upendo nilionao hakuna ataenishika nigeuke nyuma Umevuna uvumilivu na nyumbani umenipa heshima Napenda ulivyo mtulivu ma', we msikivu na umetulia Usijenipa maumivu kidonda ndugu nikaugulia Unanipenda, nami nakupenda pia Uko moyoni, nilisha kuridhia Usije kwenda mbali nami my dear Navyokupenda moyoni nitaumia My Love, My Love, My Love, My Love My Love, My Love, My Love, My Love Ikitokea umenimiss, basi sikiliza Radio Nina mengi ya kusema na wewe, sikiliza Radio Ikitokea umenimiss, basi sikiliza Radio Nina mengi yakusema na wewe, sikiliza Radio (Haaah Aaaah Radio) (Haaah Aaaah Radio)
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out