歌词

Mpenzi wangu nipepeeee Nione raha nilaleee Ahaa usijalii nipokeee Penzi liwe palepaleee Aaahhh Mpenzi wangu nipepeeee Nione raha nilaleee Ohh usijalii nipokeee Penzi liwe pale paleee Watu wapige kelelee Watoke jasho la nywelee Watu wapige kelelee Watoke jasho la nywelee Raha tuziweke mbelee Tushinde hadi milelee Aaa raha tuziweke mbelee Tushinde hadi milelee Tushinde tushinde Tushinde tushinde Tushinde tushindeee Tushindee Hadi Hadi mileleee Ladha yakoo Ni tamuuu Ladha yakoo Habiit nitamu Nitaaamu Yaleeeeeeeih Aaaaaahhhhh Yaleeeyyy Baatwa amanswiid Yaaa dhamaan Aaaaahhhh Yaleeey yaleey Yaleeeeeeeih Yaaah salaaam Aaahahahahaaaah Mhhhhhhmhhhhh Ukitaka uniweze Fanya wazi wakuone Mahasidi wanyamaze Wasiseme wanong'onee Oohhh ukitaka uniweze Fanya wazi wakuone Mahasidi wanyamaze Wasiseme wanong'onee Penye wengiii Nipulizeee Baridi yakooo Baridi yakoo niionee Penye wengiii Nipulizeee Baridi yakooo Baridi yakoo niionee Mwilini unitembezee Hadi wilaya nyigine Raha ya ngoma ucheze Ndipo raha uione Mwilini unitembezee Hadi wilaya nyigine Raha ya ngoma tucheze Ndipo raha uione Ohhh Mhhhhhhmhhhhh Nipepee kwa hisani Nilale unasema Na wewe uwe pembeni Polepole ukihema Ohh nipepe kwa hisani Nilale unasema Na wewe uwe pembeni Polepole ukihema Maana huwa uwa sionii Ninapo Ninapo ipanda milima Maana huwa uwa sionii Ninapo Ninapo ipanda milima Nishikize nitamani Honey wangu fanya hima Tamu ya chai sukari Wahenga walivyonena Nishikize nitamani Sweet wangu fanya hima Tamu ya chai sukari Wahenga walivyonena Aaahhhaa Mhhhhhhhhh Sema unapenda nini Mwenyewe nieleze Kama mapenzi ya ndani Dozi nikuongezee Oohhh sema unapenda nini Mwenyewe nieleze Kama mapenzi ya ndani Dozi nikuongezee Nikulazee Kifuanii Marahaaa Maraha ujionee Nikulazee Kifuanii Marahaaa Maraha ufaidi Hatufiki mahkamani Kesi ni yetu wenyewe Wewe ni hukumu mimi Nami ni kuhukumu wewe Hatufiki vituoni Kesi ni yetu wenyewe Wewe unisifu mimi Nami nikuswifu wewe Nami nikuswifu wewe Nami nikuswifu wewe Naaami nikuswifu wewe
Writer(s): Baraka Mkande Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out