album cover
Mapeng
album cover
Mapeng 由 Black Market Records 于 2022年11月25日 发行,作为专辑“Ghetto Genius - EP”的一部分。
2022年11月25日
唱片公司Black Market Records
BPM176
旋律性
不插电
Valence
舞蹈性
能量

音乐视频

音乐视频

歌词

Kichwa mbaya nimekam na makaya
Walai siezichocha sija pull up na haya
Hizi ndo time si hu cruise kwa hizi fara
Ma-hooligan wamechoma ndom wako higher
Kichwa mbaya nimekam na makaya
Walai siezichocha sija pull up na haya
Hizi ndo time si hu cruise kwa hizi fara
Ma-hooligan wamechoma ndom wako higher
Kuliet na Mapeng peng peng
Tunaseti na mapeng
Kuliet na Mapeng peng peng
Tunaseti na mapeng
Pretty girl kuja physical
Walai utanifanya kwanza critical
Napenda huskii kwanza visitors
Nikiwa kwanza ile gwethe digital
Maskini si akipata matako hulia mbwata
Leo nakula kuku alafu nikule bata
Ni starter na njungu alafu nitie kashata
Na nanyesha naezataka tupate mapacha
Kichwa mbaya nimekam na makaya
Walai siezichocha sija pull up na haya
Hizi ndo time si hu cruise kwa hizi fara
Ma-hooligan wamechoma ndom wako higher
Kuliet na Mapeng peng peng
Tunaseti na mapeng
Kuliet na Mapeng peng peng
Tunaseti na mapeng
Cheki aaah
We ni 10 over 10 uki-round off
Beshte yako anigotee me ni time bomb
Sijui ka atanipee ni park kando
Wale na waletee wa aki ya mambo
Yellow
Mkamba maembe na anapenda melon
Willow
Smith hii ni movie hii ni horror
Willow
Gangs hazidai ni za yolo
Ma payroll
Nilifanya Yule dem abaki hollow
Kichwa mbaya nimekam na makaya
Walai siezichocha sija pull up na haya
Hizi ndo time si hu cruise kwa hizi fara
Ma-hooligan wamechoma ndom wako higher
Kuliet na Mapeng peng peng
Tunaseti na mapeng
Kuliet na Mapeng peng peng
Tunaseti na mapeng
Alafu kando bado nataka somebody
Shuffle kadi hadi ng'ambo somebody
Washa-decide me I go provide it
Washa-decide me I go provide it
Guna ako fiti fiti yoh
Ako fiti fiti yoh
Ako fiti fiti yoh
Washa kingwariti riti yoh
Riti riti yoh
Tukidance ogopa 10
Hebu shika mkoba rieng'
Tukidance ogopa 10
Hebu shika mkoba rieng'
Written by: Edward Kimachu Irubgu, Francis Macharia, Tony Kinyanjui

Loading...