歌词
I will take over,take over
i will take over,take over
nitaenda viwango vya juu.
I will take over,take over
i will take over,take over
nitaenda viwango vya juu.
Nilipata shida rafiki zangu waliponiuliza Butati,unafanya nini huko mjini?
Wazazi wako wanateseka wadogo zako wanahangaika, unafanya nini huko mjini?
Kula kwao kwa shida shuleni wamefukuzwa,unafanya nini huko mjini?
Utafutaji umekushinda rudi nyumbani ulime,unafanya nini huko mjini?
Vyugu hanzula vyaagutanye nugaluke muhila ufate insuka,unafanya nini huko mjini?
Nikiwa katikati ya maombi,nikiwa nimechoka sana sauti ya Bwana ikaniambia
I will take over,i will take over
I will take over,i will take over,nitaenda viwango vya juu.
I will take over,i will take over
I will take over, i will take over,nitaenda viwango vya juu
I will take over, take over
i will take over, take over
nitaenda viwango vya juu.
I will take over, take over
i will take over, take over
nitaenda viwango vya juu.
I will take over, take over
i will take over, take over
nitaenda viwango vya juu.
I will take over, take over
i will take over, take over
nitaenda viwango vya juu.
Ahadi za Mungu ni kweli tena ni amina ukiomba mkate hawezi kukupa jiwe
Ameniahidi atatimiza nami namwamini sina tashwishwi atatenda nitaenda viwango vingine.
Yale maneno yao yaliyonivunja moyo,yale maneno yao yaliyonikatisha tamaa,
yakisemwa sasa yananipa nguvu ya kusonga mbele.
Yale maneno yao yaliyonivunja moyo,yale maneno yao yaliyonifanya nilie sana,
yakisemwa sasa ni kama daraja ninavuka tu.
I will take over,i will take over
I will take over,i will take over,nitaenda viwango vya juu
I will take over,i will take over
I will take over, i will take over,nitaenda viwango vya juu.
I will take over, take over
i will take over, take over
nitaenda viwango vya juu.
I will take over, take over
i will take over,take over
nitaenda viwango nya juu.
I will take over, take over
i will take over, take over
nitaenda viwango vya juu.
I will take over, take over
i will take over, take over
nitaenda viwango vya juu.
Written by: ANISET BUTATI