制作

出演艺人
ANISET BUTATI
ANISET BUTATI
表演者
作曲和作词
ANISET BUTATI
ANISET BUTATI
词曲作者

歌词

[Verse 1]
Natamani waone Bwana unavyo nibariki
Natamani waone Bwana unavyo nibariki
[Verse 2]
Wapo waliotabiri maanguko yangu
Wapo waliotabiri mwisho wangu
Wakasema ng'ombe wa maskini hazai
Nawaombea waishi miaka mingi
Nawaombea waishi miaka mingi
Ili unaponibariki Mungu wangu
Ili unapo nibariki Bwana wangu
[Bridge]
Wajionee kwa macho yao
Wajionee Kwa macho Yao
[Chorus]
Natamani waone Bwana unavyonibariki
Natamani waone Bwana unavyonibariki
Natamani waone Bwana unavyonibariki
Natamani waone Bwana unavyonibariki
Natamani waone, waone, waone kwa macho
[Verse 3]
Wao ni wakina Thomaso
Nibariki waone kwa macho
Mpaka wasemezane yuko Mungu mwenye nguvu
Nataka wajue yuko Mungu
Nataka wajue yuko Mungu
Asiyeshindwa na jambo lolote
Asiye shindwa na kitu chochote.
[Verse 4]
Wewe Baba, we baba
Wewe Yesu, we Yesu
Fanya jambo wajue wewe ni Mungu
Fanya jambo wajue wewe ni Mungu
Unifanyie heshima mbele Yao
Waliosema haiwezekani nakuamini
Bwana wangu
[Verse 5]
Unaweza kuiwasha nuru katikati ya giza
Unaweza kunyesha mvua kiangazi
Dhihirisha uwezo wako Mungu wangu
Wauone Kwa macho
[Chorus]
Natamani waone Bwana unavyonibariki
Natamani waone Bwana unavyonibariki
Natamani waone Bwana unavyo nibariki
Natamani waone Bwana unavyo nibariki
Natamani waone, waone waone kwa macho
Written by: ANISET BUTATI
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...