音乐视频

音乐视频

制作

出演艺人
Rose Muhando
Rose Muhando
表演者
作曲和作词
Rose Muhando
Rose Muhando
词曲作者

歌词

[Chorus]
Funguka, funguka
Funguka, funguka
Inuka, inuka, jitwikwe godoro lako uendee
Inuka, inuka, inuka, inuka, jitwikwe godoro lako uendee
Efatha, Efatha
Kwa jina la Yesu simama uendee
Efatha, Efatha
Kwa jina la Yesu simama uendee
[Verse 1]
Mbona unahuzunika wewe umelala
Umefungwa na nini mbona umelala
Wenzako wanabarikiwa mbona wewe umelala
Msimu wa kiangazi na masika vinapita wewe umelala
Umefungwa na nini mbona umelala
Unaitwa majina mabaya sababu yote wewe umelala
[Verse 2]
Mkono wa Mungu upo hapa
Uweza wa Mungu upo hapa
Uwepo wa Mungu upo hapa
Na Yesu mwenyewe yupo hapa
[PreChorus]
Kwa Jina la Jesu, kwa Jina la Jesu
Kwa Jina la Jesu, simama uende
Kwa Jina la Jesu, kwa Jina la Jesu
Kwa Jina la Yesu tembea uendee
[Chorus]
Pokea muujiza wako (Uwe mzima)
Kwa jina la Yesu (Uwe mzima)
Uzima uwe juu yako (Uwe mzima)
Kwa Jina la Yesu (Uwe mzima)
Ufunguliwe kwenye vifungo (Uwe mzima)
Kwa Jina la Yesu (Uwe mzima)
Utolewe kwenye mateso (Uwe mzima)
Kwa Jina la Yesu (Uwe mzima)
Umefungwa kazini kwako (Uwe mzima)
Kwa Jina la Yesu (Uwe mzima)
Je umefungwa kwenye mapango (Uwe mzima)
Kwa Jina la Yesu (Uwe mzima)
Je umefungwa kwenye makaburi (Uwe mzima)
Toka, kwa Jina la Yesu (Uwe mzima)
Umefungwa kwenye uchawi (Uwe mzima)
Kwa Jina la Yesu (Uwe mzima)
Na amuru uzima kwako (Uwe mzima)
Kwa jina la Yesu (Uwe mzima)
Naamuru Amani yako (Uwe mzima)
Kwa Jina la Yesu (Uwe mzima)
Simama uendee (Uwe mzima)
Kwa Jina la Yesu (Uwe mzima)
[PreChorus]
Simama, simama (Uwe mzima)
Simama, simama (Uwe mzima)
Nasema inuka, inuka (Uwe mzima)
Inuka, inuka (Uwe mzima)
Nasema kwa jina la Yesu, kwa Jina la Yesu (Uwe mzima)
Kwa Jina la Yesu, hey-hey (Uwe mzima)
Kwa jina la Yesu, kwa Jina la Yesu (Uwe mzima)
Kwa jina la Yesu, hey (Uwe mzima)
Waoo (Uwe mzima)
Hey (Uwe mzima)
[Chorus]
Vifungo vikuachie (Uwe mzima)
Kwa Jina la Yesu (Uwe mzima)
Utasa ukuondokee (Uwe mzima)
Kwa Jina la Yesu (Uwe mzima)
Kiziwi na usikie (Uwe mzima)
Kwa Jina la Yesu (Uwe mzima)
Na laana zikuondokee (Uwe mzima)
Kwa Jina la Yesu (Uwe mzima)
Enenda na amani yako (Uwe mzima)
Kwa Jina la Yesu (Uwe mzima)
Enenda na uponyaji wako (Uwe mzima)
Kwa Jina la Yesu (Uwe mzima)
[Chorus]
Nasema Efatha (Uwe mzima)
Kwa Jina la Yesu (Uwe mzima)
Efatha (Uwe mzima)
Kwa Jina la Yesu (Uwe mzima)
Nasema enenda na amani yako (Uwe mzima)
Kwa jina la Yesu (Uwe mzima)
Efatha, Efatha (Uwe mzima)
Efatha, Efatha (Uwe mzima)
Inuka, inuka (Uwe mzima)
Inuka, inuka (Uwe mzima)
Efatha, woyoyoyo (Uwe mzima)
Hey wooo, woo iyee (Uwe mzima) woyoyoyoo
Written by: Rose Muhando
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...