音乐视频

音乐视频

制作

出演艺人
Msanii Music Group
Msanii Music Group
表演者
作曲和作词
Mary Wambui
Mary Wambui
词曲作者

歌词

Wakati nitajikuta Mbinguni kwa Baba
Nitajua ya ulimwengu nimeshayaacha
Haleluya nitasifu kufika Mbinguni
Hosana, nitaingia kwa shangwe
Wakati nitajikuta Mbinguni kwa Baba
Nitajua ya ulimwengu nimeshayaacha
Haleluya nitasifu kufika Mbinguni
Hosana, nitaingia kwa shangwe
Nitaingia lango Lake na sifa moyoni
Nitaingia kwa shangwe kuu
Nitasema ni siku njema, Bwana ameifanya
Nitafurahi kufika Mbinguni
Nitaingia lango Lake na sifa moyoni
Nitaingia kwa shangwe kuu
Nitasema ni siku njema, Bwana ameifanya
Nitafurahi kufika Mbinguni
Nchi nzuri, nchi safi ni kwa Baba yangu
Kuna amani, kuna furaha, huko ni kusifu
Tutakaa na Mungu wetu nchi ya amani
Hosana, nitaingia kwa shangwe
Nchi nzuri, nchi safi ni kwa Baba yangu
Kuna amani, kuna furaha, huko ni kusifu
Tutakaa na Mungu wetu nchi ya amani
Hosana, nitaingia kwa shangwe
Nitaingia lango Lake na sifa moyoni
Nitaingia kwa shangwe kuu
Nitasema ni siku njema, Bwana ameifanya
Nitafurahi kufika Mbinguni
Nitaingia lango Lake na sifa moyoni
Nitaingia kwa shangwe kuu
Nitasema ni siku njema, Bwana ameifanya
Nitafurahi kufika Mbinguni
Nitaingia lango Lake na sifa moyoni (sifa moyoni mwangu)
Nitaingia kwa shangwe kuu (nitasema ni siku njema)
Nitasema ni siku njema, Bwana ameifanya (Bwana ameifanya)
Nitafurahi kufika Mbinguni (nitaingia)
Nitaingia lango Lake na sifa moyoni (lango Lake, Bwana wangu)
Nitaingia kwa shangwe kuu (nitasema)
Nitasema ni siku njema (Bwana ame) Bwana ameifanya (Bwana aimeifanya)
Nitafurahi kufika Mbinguni (nitafurahia)
Nitafurahi kufika Mbinguni (nitafurahia)
Nitafurahi kufika Mbinguni (mm, nitafurahia)
Nitafurahi kufika Mbinguni (nitafurahia)
Written by: Mary Wambui
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...