制作
出演艺人
Dee Danger
表演者
作曲和作词
Dee Danger
词曲作者
歌词
VERSE 1
Walishasema Niache Mziki nikaze shule mambo yawe Guda..Wengine Acha shule Nenda Dar Unapoteza muda...Rafiki una muamini kumbe Yuda..unakula nae Unacheka nae Kumbe Mkuda...Wengine Tumekuzwa Na muziki..Toka miaka Tisa sifikii mic bila ya kiti...Toka show Za bure yani Silipwi..Acha Mbwembe Bwana wapi Unafika ambapo sifiki...msela akipiga simu ye stori kuhusu Demu.. Haulizii changamoto na chochote kuhusu game..Anapenda Tu Company Nimpe Kiki kwa mademu..kesho nikiwa Sina kitu anitangaze kila sehemu.Mara ooooh Mbona ulimdisi Ney We na Killer mna bifu mbona hamuongei..Vipi Fid support Mbona Hakugei..
Mtaa unakuelewa sana lakini mbona husogeii..mi Mama anguu ananiambia Dee pambana Ujanja pesa ukipata Fanya Vitu vya maana..Demu wangu ananisumbua Toka Jana...Anataka Kuishi Masaki amechoka kijitonyama.kila siku huwa naomba dua njema.. Niwashinde wabaya niwaweke tu kwa wema...hawana haya kazi yao ni kusema..wataona nimewaogesha Hata vimate nikitema... nilipozaliwa mi ni Mwanza Mwanza...Napopaaminia mi ni Mwanza Mwanza..
Mabatini kwetu Mwanza Mwanza.. Mi mwanza Mwanza wa mwanza Mwanza...
CHORUS
Bye Bye Dogo Dee Bye bye (Bye bye Dogo Dee bye Bye).. Tutaonana Mungu Akipenda (Bye Bye Dogo dee bye bye) Bye bye Dogo dee bye bye (bye bye Dogo dee bye bye)..Tutaonana Mungu Akipenda(Bye bye Dogo Dee bye bye)
VERSE 2
Mabatini hadi kilimahewa kwa miguu...ukitoka story nzima muulize kabago Tu..Shule ikawa noma mizinguo Juu..Bila Ya Kuhama Ndoto zingezimika za chuo kikuu...Toka Darasa LA Tatu Bila Baba..Bahati Mbaya Na Ndugu Hawakuwa Na msaada..unaebana kipi unapata labda hiii Safarii Lazima itimie hata Bila Rada...Nilipozaliwa mi ni mwanza Mwanz..napopaaminia mi ni mwanza Mwanza..mabatini kwetu Mwanza Mwanza. Mi mwanza Mwanza wa mwanza Mwanza
CHORUS
Bye Bye Dogo Dee Bye bye (Bye bye Dogo Dee bye Bye).. Tutaonana Mungu Akipenda (Bye Bye Dogo dee bye bye) Bye bye Dogo dee bye bye (bye bye Dogo dee bye bye)..Tutaonana Mungu Akipenda(Bye bye Dogo Dee bye bye)
Written by: Dee Danger

