制作

出演艺人
Nay Wa Mitego
Nay Wa Mitego
表演者
作曲和作词
Emmanuel Elibariki
Emmanuel Elibariki
作曲
Sarah Michael Kitinga
Sarah Michael Kitinga
作曲
Hamadi Kibindoni
Hamadi Kibindoni
作曲

歌词

[Chorus]
Tell me where you are?
Tell me where you are baby? (Najisogeza hee)
Tell me where you are?
Tell me where you are baby? (Najisogeza hee)
[Verse 1]
Hey darling, nakuita
Sema Kama unakuja nipate uhakika
Si unapenda zege nishapika
Njoo fasta mwenzako zina mwagika
Nikuvutie ganja ndo nikule (Aah aah wewe tu)
Alafu nikugeuze-geuze kama kitumbua vile (Aah, aah wewe tu)
Mi' sina muda wakupoteza eh
Basi nakuja, najisogeza hee
Mi' sina muda baby wakupoteza eh
Basi nakuja darling, najisogeza hee
[Chorus]
Tell me where you are?
Tell me where you are baby? (Najisogeza hee)
Tell me where you are?
Tell me where you are baby? (Najisogeza hee)
Niambie wapi ulipo mpenzi? (Najisogeza hee)
Tell me where you are?
Tell me where you are baby? (Najisogeza hee)
[Verse 2]
Ukini-cheat moyo utauma hapa, hapa
Sogea usikeze unavyo dunda hapa, hapa
Ukiwa mbali unanipa mashaka-shaka
Sitaki ugonjwa wa presha aka, aka
Oh! no, no, noo
Sikuachi, sikusalitii
Sikuumizi kabisaa, kabisa
[PreChorus]
Nikuvutie ganja ndo nikule (Aah, aah wewe tu)
Alafu nikugeuze-geuze kama kitumbua vile (Aah, aah wewe tu)
Mi' sina muda wakupoteza hee
Basi nakuja, najisogeza hee
Mi' sina muda baby wakupoteza hee
Basi nakuja darling, najisogeza hee
[Chorus]
Tell me where you are?
Tell me where you are baby? (Najisogeza hee)
Tell me where you are?
Tell me where you are baby? (Najisogeza hee)
Niambie wapi ulipo mpenzi? (Najisogeza hee)
Tell me where you are?
Tell me where you are baby? (Najisogeza hee)
Written by: Emmanuel Elibariki, Hamadi Kibindoni, Sarah Michael Kitinga
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...