音乐视频

Otile Brown X Ruby - ONE CALL (Official Video) sms skiza 7302843 to 811
在 YouTube 上观看 Otile Brown X Ruby - ONE CALL (Official Video) sms skiza 7302843 to 811

精选于

制作

出演艺人
Ruby
Ruby
声乐
Otile Brown
Otile Brown
表演者
制作和工程
Otile Brown
Otile Brown
制作人

歌词

[Verse 1]
Ukihitaji rafiki unipigie
Na nitafika hata kama simu hujakata
Na kifuani mwangu ntakuliwaza
Na nitakesha nikikulinda ukilala
[Verse 2]
Najua ile unataka ile unataka
Najua unapenda unampenda yule
Na tena mimi sina wivu
Ila naomba ije siku uielewa
Ije siku uje kuielewa thamani yako
[Chorus]
I'm one call away
Ukiniitaji mpenzi nipigie simu yako
I'm one call away
Ukiniitaji mpenzi shujaa wako
[Verse 3]
One call, one call away call me
If you need call me, one call
One call away, call me
If you need call me
Mapenzi hayafai kuumiza
Sasa nini unampendea
Mapenzi hayafai kuliza
[Verse 4]
Kutwa unashinda unayang'ang'ania
Wakati inakucost furaha yako
Ooh no (Ooh no, ooh no-no)
Najua ile unataka ile unataka
Kile unataka ni yule unampenda
Uliyempenda yule
Na tena mimi sina wivu
Ila naomba ije siku uielewa
Ije siku uje kuielewa thamani yako
[Chorus]
I'm one call away
Ukiniitaji mpenzi nipigie simu yako
One call away
Ukiniitaji mpenzi shujaa wako
One call, one call away call me
If you need call me, one call
One call away, call me
If you need call me
Written by: Otile Brown
instagramSharePathic_arrow_out