歌词
[Intro]
Naiwe, naiwee
Naiwe, naiwee
Naiwe, naiwee
Naiwe
[Verse 1]
Yale Umetenda kwangu nashindwa kusema kabisa
Ile nguvu na time mbona mimi nilipoteza
Nilipodanganywa eti starehe ziko kwa dunia
Shetani alinitesa alitaka kunimaliza
[PreChorus]
Ikiwa mimi na stress (Badoo)
Na stress na mimi (Badoo)
Shetani mubaya (Badoo)
Alitaka kunimaliza
Ikiwa mimi na stress (Badoo)
Na stress na mimi (Badoo)
Shetani mubaya (Badoo)
Alitaka kunimaliza
Basi neema yako
[Chorus]
Naiwe, naiwe, naiwee (Utakavyo)
Naiwe, naiwe, naiwee (Upendacho juu yangu)
Naiwe, naiwe, naiwee (Naiwee)
Naiwe, naiwe, naiwee
[Verse 2]
Baba unitumie, sawasawa na mapenzi yako
Tena unitumie, zaidi vile upendavyo
Maana nimechoka kurandaranda, yale maisha ya zamani
Yani hata mayo wangu ukaganda, Yesu Nina kuhitaji yeyei
[PreChorus]
Ikiwa mimi na stress (Badoo)
Yani stress na mimi (Badoo)
Oh shetani mubaya (Badoo)
Ikiwa mimi na stress (Badoo)
Na stress na mimi (Badoo)
Oh shetani mubaya (Badoo)
Basi neema yako
[Chorus]
Naiwe, naiwe, naiwee (Utakavyo)
Naiwe, naiwe, naiwee (Upendavyo juu yangu)
Naiwe, naiwe, naiwee (Naiwee)
Naiwe, naiwe, naiwee
[PreChorus]
Na, na, na, na naiwe (Naiwe, naiwe, naiwee, naiwe, naiwee)
Baba fungua milango (Naiwe, naiwe, naiwee, naiwe, naiwee)
Baraka zishuke juu yangu (Naiwe, naiwe, naiwee, naiwe, naiwee)
Neema yako (Naiwe, naiwe, naiwee, naiwe, naiwee)
[Chorus]
Naiwe, naiwe, naiwee
Naiwe, naiwe, naiwee
Naiwe, naiwe, naiwee
Naiwe, naiwe, naiwee
Written by: Collins Phaleth Shoo


