制作
出演艺人
Bony Mwaitege
表演者
作曲和作词
Boniphace Patson Mwaitege
词曲作者
歌词
[Verse 1]
Mfalme Belshaza maandiko yanamsimulia
Alilewa madaraka akamkosea Mungu
Alipopata ufalme alichanganyikiwa
Mpaka akathubutu kutumia vikombe vya hekalu
Mfalme Belshaza
[Verse 2]
Alishangaa kuona mkono unaandika ukutani
Na anayeandika alikuwa haonekani
Maneno yaliyo jitokeza ukutani yalikuwa haya
Mene, Mene Tekeli na Peresin
[Verse 3]
Maana yake ufalme wako umepimwa kwa mizani
Nao umeonekana umepunguka
Ufalme wako wamegawanywa Wamedi na Wajemi
Belshaza, Belshaza
[Verse 4]
Belshaza alidhani amefika
Akaanza kudharau watu kumbe safari bado
Mfalme Belshazzar alidhani amefika
Akaanza kumdharau Mungu kumbe safari bado, inaendelea
Safari bado, safari baado, safari bado, inaendelea
Woho Baa
[Chorus]
Baadoo safaari bado (Baado)
Maisha ni safari ndefu ndungu safari bado (Hei baaaoo)
Baadoo safari bado (Ndugu yangu)
Usianze kudharau watu ndugu safari bado
Baadoo safari bado
Endelea kumheshimu Mungu ndungu safari bado, inaeendelea
Safari bado
[Verse 5]
Ukipigiwa simu haupokei unaiangalia tu
Unadhani umefika kumbe safari bado
Ukipita na gari yako matope unaturushia
Unadhani umefika kumbe safari bado
Umejifungua salama usifute namba za wakunga
Ndugu yangu nakukumbusha kwamba safari bado
[Verse 6]
Bado, safari baado
Endelea kuheshimu watu ndugu safari bado
Baadoo, safari baado
Usiache kumwabudu Mungu ndugu safari bado, inaeendelea
Bado heiye
[Chorus]
Baadoo, safari bado
Maisha ni safari ndefu ndungu safari bado
Baadoo safari bado
Usianze kudharau watu ndugu safari bado
[Chorus]
Baadoo, safari bado
Endelea kumheshimu Mungu ndugu safari bado, inaendelea
Safari baadoo
[Verse 7]
Umesoma sawa lakini kumbuka walio kusomesha
Usiwasahau maana safari bado
Unapesa nyingi sawa lakini kumbuka ulikotoka
Usidharau watu ndungu safari bado
[Verse 8]
Baadoo, safari bado
Endelea kuheshimu watu ndungu safari bado
Badoo, safari baadoo
Maisha ni safari ndefu ndungu safari bado, inaendelea
Safari bado, heiyeaa
[Chorus]
Baadoo, safari bado
Maisha ni safari ndefu ndungu safari bado
Baadoo, safari bado
Usianze kudharau watu ndugu safari bado
Bado safari bado
Endelea kumheshimu Mungu ndugu safari bado, inaeendelea
Safari bado
Written by: Boniphace Patson Mwaitege

