制作

出演艺人
Goodluck Gozbert
Goodluck Gozbert
领唱
作曲和作词
Goodluck Gozbert
Goodluck Gozbert
词曲作者
制作和工程
Goodluck Gozbert
Goodluck Gozbert
制作人

歌词

[Verse 1]
Tena mimi nilitamani niende shule kama wengine
Nikasome kama samia nikadilishe hisitoria
Ona mimi nilitamani nirushe ndege kote angani
Niwe na sifa ya rubani rubani, nimebaki kuwa wa mitaani
[Verse 2]
Sijui kosa sijui kosa kuna kupata pengine nakosa
Imezimika imekufa nyota, au nakufuru tu
Unapofikiria kutupa chakula, nikumbuke uniite
Sichagui ni bora nishibe nitakushukuru wee
[PreChorus]
Nguo zinazoliwa na panya kwa kukosa mtu wa kuvaa
Nipatie mi zitanifaa, utabarikiwa wee
[Chorus]
Na kupanga sikupanga niwe hivi au vile
Ni ya Mungu yalipangwa ukipata nikumbuke
Na kupanga sikupanga niwe hivi au vile
Ni ya Mungu yalipangwa ukipata nikumbuke
[Verse 3]
Kwenye siku naweza tukanwa, mara kumi mara saba
Kwenye moyo pengine kwa kinywa anajua Mungu tu
Mara nyingi nimesingiziwa, sina mtu wa kunitetea
Mimi nilizaliwa hatia anajua Mungu tu
[Verse 4]
Kama umebarikiwa kumbuka wengine
Kwa chochote chochote uwahurumie eeh
Unapofikiria kutupa chakula, nikumbuke uniite
Sichagui ni bora nishibe, nitakushukuru wee
[PreChorus]
Nguo zinazoliwa na panya kwa kukosa mtu wa kuvaa
Nipatie mi zitanifaa, utabarikiwa wee
[Chorus]
Na kupanga sikupanga niwe hivi au vile
Ni ya Mungu yalipangwa ukipata nikumbuke
Na kupanga sikupanga niwe hivi au vile
Ni ya Mungu yalipangwa ukipata nikumbuke
[Chorus]
Na kupanga sikupanga niwe hivi au vile
Ni ya Mungu yalipangwa ukipata nikumbuke
[Outro]
Eeh niombee, niombee, niombee, niombee
Eeh niombee, niombee, niombee, niombee
Eeh niombee, niombee, niombee, niombee
Eeh niombee, niombee, niombee, niombee
Written by: Goodluck Gozbert
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...