制作

出演艺人
Goodluck Gozbert
Goodluck Gozbert
领唱
作曲和作词
Goodluck Gozbert
Goodluck Gozbert
词曲作者
制作和工程
Goodluck Gozbert
Goodluck Gozbert
制作人

歌词

[Verse 1]
Usinipite, usinipite
Bwana naomba usinipite
Usinipite, usinipite
Bwana naomba usinipite
[Chorus]
Usinipite, usinipite
Bwana naomba usinipite
Usinipite, usinipite
Bwana naomba usinipite
[Verse 2]
Ooh ni maombi yangu, ndio kiu yangu
Na ya moyo wangu usiniache
Kimbilio langu wewe mwanzo wangu
Tumaini langu usinipite
[Verse 3]
Unapopita, unapogusa wengine
Nami nione usiniache
Unapopita, unapogusa wengine
Nami nione usiniache
[Verse 4]
Kama ni kunibariki (Sawa, sawa, sawa)
Kama kuponywa sawa, sawa, sawa
Kama ni kuniinua (Sawa, sawa, sawa)
Kama ni kunionya (Sawa, sawa, sawa)
[Chorus]
Usinipite, usinipite
Bwana naomba usinipite
Usinipite, usinipite
Bwana naomba usinipite
[Verse 5]
Nimeinua macho naona milima, milima
Msaada wangu tu ni wewe, muumba wa vyote eeh
Nimeinua macho naona milima, milima
Msaada wangu tu ni wewe, muumba wa vyote eeh
[PreChorus]
Kama ni kunibariki (Sawa, sawa, sawa)
Kama kuponywa sawa, sawa, sawa
Kama ni kuniinua (Sawa, sawa, sawa)
Kama ni kunionya (Sawa, sawa, sawa)
[Chorus]
Usinipite, usinipite
Bwana naomba usinipite
Usinipite, usinipite
Bwana naomba usinipite
[Chorus]
Usinipite, usinipite
Bwana naomba usinipite
[Verse 6]
Nikitoa hesabu mema na mabaya
Wala sina adhabu iliyo njema
Kama ungehesabu matendo kwa tabia
Mimi ni mwenye dhambi machoni pako
Nikitoa hesabu mema na mabaya
Wala sina adhabu iliyo njema
Kama ungehesabu matendo kwa tabia
Mimi ni mwenye dhambi machoni pako
[Chorus]
Usinipite, usinipite
Bwana naomba usinipite
Usinipite, usinipite
Bwana naomba usinipite
Usinipite, usinipite
Bwana naomba usinipite
Usinipite, usinipite
Bwana naomba usinipite
Written by: Goodluck Gozbert
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...