Marioo 的热门歌曲
类似歌曲
制作
出演艺人
Marioo
表演者
作曲和作词
Marioo
词曲作者
Salmin Kasimu Maengo
作曲
Sweetbert Charles Mwinula
作曲
制作和工程
S2Kizzy
制作人
歌词
S2Kizzy Baby
Moyo kwako umekaa-kaa-kaa oweoh
Kila ukidunda paa-paa-paa oweoh
We ndo naekuwazaga-ga-ga oweoh
Waniwezaga oweoh
Usifanye njia kwamba umenipitia,utaniumiza dear
Nami mwanadamu mwenye moyo na majonzi pia
Si unasikia,kulialia ndo nnachokihofia
Kama ushanigonga basi nionee huruma,usiongeze gear
Oh nanana
Uwepo wako mi mwenzako naenjoy
Oh nana
Yani kwako nyang'anyang'a nipo hoi
Oh nanana
Mi kwako sisemi,sikohoi
Oh nanana
Si unajua moyo
Moyo wangu kwako umekaa-kaa-kaaa oweoh
Kila ukidunda paa-paa-paa oweoh
We ndo naekuwazaga-ga-ga oweoh
Waniwezaga
Ah you dey make me sing
Baby Ah
Aaaah Aaaaaah
Aaah
Aaaah Aaaaaah
Baby Ah
Aaaah Aaaaaah
Aaaah Aaaaah
Baby you dey make me sing
Aaaah Oohh Aaah
Yani mpaka ladha zao za zamani nimesahau
Mesahau
Sura zao za zamani nasahau
Nasahau
Maana nikisikia kuhusu upendo
Nakuwaza wewe tu mahabuba
Na,nikitakaga upendo
Nawaza lako tu,huba
Na tukikwenda kwenye tendo
Unanifikishaga mpaka Cuba
Unakabaga uachi pengo
Si unajua moyo
Moyo wangu kwako umekaa-kaa-kaaa oweoh
Kila ukidunda paa-paa-paa oweoh
We ndo naekuwazaga-ga-ga oweoh
Waniwezaga
Ah you dey make me sing
Baby Ah
Aaaah Aaaaaah
Aaah
Aaaah Aaaaaah
Baby Ah
Aaaah Aaaaaah
Aaaah Aaaaah
Ona naimba
Baby you dey make me sing
Writer(s): Marioo, Salmin Kasimu Maengo, Sweetbert Charles Mwinula
Lyrics powered by www.musixmatch.com