Diamond Platnumz 的热门歌曲
类似歌曲
制作
出演艺人
Fally Ipupa
演唱
Diamond Platnumz
演唱
作曲和作词
Fally Ipupa
作曲
Diamond Platnumz
作曲
制作和工程
Siraju Hamisi Amani
制作人
歌词
(Ayolizer)
Kukudekeza kama mtoto, furaha unafurahia
Alafu geuka moto, machozi unalia
Mwembamba, mwenene
Uwe na pesa kama Dangote (Dangote)
Penzi halijali umasikini
Laweza penda mtu yoyote
Penzi sio somo ukasome kwa kitabu
Penzi limefanya Harmonize afukuzishe Mwarabu
Penzi yoyoyo, limeleta kwa wanangu vita
Siku hizi siwaoni naishia kuwalike Insta
Hivo asiyekupenda achana naye
Anayekupenda pendana naye
Mambo stress ya nyumba ndani
Ebu cheza ufurahi
Kama songi limekolea
Asa inama
Ebu pinda mgongo (ooh ngo-ngo-ngo)
Oya inama (inama baby)
Basi pinda mgongo (ngo-ngo, ngo-ngo-ngo)
Asa inama (inama baby)
Ebu pinda mgongo (kama tungi limepoza)
Oya inama
Basi pinda mgongo
Toujours l'amour ebandaka n'esengo
Ba bisous, ba calins, ba cadeaux
Ba "je t'aime" tout le temps
Maw'eleka wapi? Bébé na nga aza présente
Soucis eleka wapi? Chérie na ngai azali eh
Tango nionso alobelelaka nga "je t'aime"
Baloba, baseka oh
Baloba, baseka oh, nga nako lembe té
Baloba, baseka oh
Baloba, baseka oh, nga nako lembe té
Chérie na nga aza kitoko
Bébé na nga aza elengi trop
Chérie na nga aza kitoko
Bébé na nga aza elengi trop
Parfois l'amour est compliqué
Mais chérie à moi toujours romantique
Asa inama (woh-oh-oh)
Ebu pinda mgongo (nakupenda mtoto)
Oya inama (bana inama)
Basi pinda mgongo (bébé na ngai eh)
Asa inama (na lela yo-oh)
Ebu pinda mgongo (woh-oh-oh-oh)
Oya inama (oh ya inama)
Basi pinda mgongo
Asa nionyeshe unanyonga je
Nyonga, nyonga kibasikeli, nyonga
Kaa kibasikeli, nyonga kama kibasikeli
Ah kiuno kifanye pedeli
Nyonga, nyonga kibasikeli, nyonga
Kaa kibasikeli (nyonga yoyoyo)
Nyonga kama kibasikeli (ah nyonga)
(Nakupenda mtoto)
Nyonga, nyonga kibasikeli, nyonga (woh-oh-oh-oh)
Kaa kibasikeli
Nyonga kama kibasikeli
Nakucheza ka goma la kashikwa midadi
Analishare lishare
Analishare lishare (anali')
Analishare lishare
Eh bia za kitonga kachanganya na nyagi
Analishare lishare (yuko bwi)
Analishare lishare (silali)
Analishare lishare (oh-oh-oh)
Eh, Samuel Eto'o
Didier Drogba (Wasafi)
Fally Ipupa, Tokooosss
Toza likolo
Bakokoka té (bakokoka té)
Writer(s): Falli Ipupa N Simba, Nasibu Abdul Juma Issaack
Lyrics powered by www.musixmatch.com