歌词

Iyoo Iyoo
Haraka haraka haina baraka Iyoo Iyoo
(Woo King Kaka) Haraka haraka haina baraka
Pale Rolling Stone niko almost (hm) Bado rolling stone gathers no moss na Bank imejaa niko almost (Mh)
and I’m doing nothing Omosh (Nothing)
Call, tell my mama I made it (ma)
pale kwa TV naona enemies ni wengi (sana) ati compe wana pimana na bling (woo) glad Conje is back in the ring
Sleki gathe ukule one two (one two) ndio utaskia how they want you (want you) before pararo kwa rive
when they see me run ka murife (murife run)
Family first nawalisha na bidii Kunguru is gone E-Sir na Wikii K-Rupt, twende South C
Ni Kagz na King bana hauskii
Come slowly, Pole pole Kuwa mpole pole (mos mos) Pole pole Baby ye Come slowly, Pole pole Kuwa mpole pole (mos mos) Pole pole Baby ye (eh)
Iyoo Iyoo
Haraka haraka haina baraka Iyoo Iyoo
(Kagwe)
Haraka haraka haina baraka
And thanks to Esirs guidance There’s no defiance (Nope)
Na ringa kaa wasee walienda alliance Na ringa kabisa
Hamuwezi ni tisha
This time next year naweka diamonds kwa rizzler
Ghai Kagwe ficha, Siwezi ficha Siwezi stop na siwezi bakisha (Haha) nachachisha
I’m soo stevo niko freshi barida
Hii beat ni art generation ya gado Hii ni ya wasee wali grow up na bano
Za ziletimes dough zilkuwa hard to find On the grind yani tight kaa vajo
Maisha imefika part 2 (part 2)
Nai checki from a birds eye view (checki)
Truth is, I’m just here to remind you if you believe greatness will find you
Mos mos
Come slowly, Pole pole Kuwa mpole pole (mos mos) Pole pole Baby ye Come slowly, Pole pole Kuwa mpole pole (mos mos) Pole pole Baby ye (eh)
Iyoo Iyoo
Haraka haraka haina baraka Iyoo Iyoo
Haraka haraka haina baraka
Written by: Kagwe Mungai
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...