音乐视频

音乐视频

制作

出演艺人
Kagwe Mungai
Kagwe Mungai
表演者
Polaris Pauline
Polaris Pauline
领唱

歌词

I don't know what to do
I don't know what to do
I don't know what to do
Ooou oou oou
I wanna say I wanna stay together
I'm afraid I'm so afraid it may not get better
It would be easier to change the weather
and I said all I had to say, no pressure
What do you mean all this time hujui kile utado
Na nikilia unasema mi nakuleta juu
What do you mean all this time hujui kile utado
Na nikilia unasema mi nakuleta juu
I don't know what to do
Ushasema ni mi na we
Vitu zikienda vile zimenda
Ita bidi tuombe
I don't know what to do
Ushasema ni mi na we
Vitu zikienda vile zimenda
Ita bidi tuombe
Usiseme siku kwambia
Na Usiseme siku kwambia
Usiseme siku kwambia
(ouuu siku kwambia)
Ukiniona na mwingine usistuke sana my dear
Na chance nilikupatia (ahh)
ukaona nakupenda hakuna place mi nitaenda my dear
What do you mean all this time hujui kile utado
Na nikilia utasema mi nakuleta juu
What do you mean all this time hujui kile utado
Na nikilia utasema mi nakuleta juu
I don't know what to do
Ushasema ni mi na we
Vitu zikienda vile zimenda
Ita bidi tuombe
I don't know what to do
Ushasema ni mi na we
Vitu zikienda vile zimenda
Ita bidi tuombe
Usiseme siku kwambia
Usiseme siku kwambia
Usiseme siku kwambia
Na Usiseme siku kwambia
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...