音乐视频

Lava Lava Ft Diamond Platnumz - Tuna Kikao (Official Music Video)
观看 {artistName} 的 {trackName} 音乐视频

制作

出演艺人
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
演唱
Lava Lava
Lava Lava
主唱
作曲和作词
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
词曲作者
Lava Lava
Lava Lava
词曲作者
制作和工程
Lizer Classic
Lizer Classic
制作人
S2Kizzy
S2Kizzy
制作人

歌词

Sisi ni walevi, tunakesha bar Tunatumia hela, hatujaja kushangaa We zombie Haujui Mimi samba na masimba dangotee eeh Love bite Ninja kong fuu master (aah master) Sisi ni walevi, tunakesha bar Tunatumia hela, mpaka jua lianze ng'aa Kama pombe we hauwezi hapa hapoto kufaa Nenda meza za inzi kwa wenzako wanao shangaa Wenyewe tuna kikao Tuna kikao, tuna kikao, tuna kikao Eeh tupishe bwana (wenyewe tuna kikao) Tuondolee kelele (tuna kikao) Tupishe bwana (tuna kikao) Eeeh (tuna kikao) Wazee wa nyumba tutajenga mwakani (ndo zetu) Kwanza heshima mezani (ndo zetu) Kikubwa ghetto na bebe iwe ndani (ndo zetu) Na mama ale nyumbani Tukizikosa kitongo ganda la ndizi Tukizipata ndo maboss (matumizi) Tukiwa bwii kuhonga (ving'ang'anizi) Tunatakaga ile kitu (ya uzinzi) Jamani sisi ni walevi, tunakesha bar Tunatumia hela, mpaka jua lianze ng'aa Kama pombe we hauwezi hapa hapoto kufaa Nenda meza za inzi kwa wenzako wanao shangaa Wenyewe tuna kikao Tuna kikao, tuna kikao, tuna kikao Eeh tupishe bwana (wenyewe tuna kikao) Tuondolee kelele (tuna kikao) Tupishe bwana (tuna kikao) Eeeh (tuna kikao) Eeeh eeeh Mishoti tu zoyogo ndo chini nyan' ganyang'a Na ukinchekea kidogo aah umetafunwa bwana Eeh kushoto na zombie kulia tosi Ni mwendo wamonde na misosi Ikukushinda chonde usijifosi Sie mpaka ligonge la utosi Eti nilale, nimlaie nani Wakati pesa nimeshika ukubwani Nilaale, kwa usingizi gani Wakati umaarufu nimeupatia ukubwani Na wakiutaka motoo moto nawatembezea wa kifuu Oosh kamata mutoto ghetto kifo cha nende Miguu juu Asa waonyeshe ka chupa halijakwisha baba Asa tingisha tingisha fanya ka unamwaga mwaga Asa waonyeshe ka chupa halijakwisha baba Asa tingisha tingisha fanya ka unamwaga mwaga Jamani sisi ni walevi, tunakesha bar Tunatumia hela, mpaka jua lianze ng'aa Kama pombe we hauwezi hapa hapoto kufaa Nenda meza za inzi kwa wenzako wanao shangaa Wenyewe tuna kikao Tuna kikao, tuna kikao, tuna kikao Eeh tupishe bwana (wenyewe tuna kikao) Tuondolee kelele (tuna kikao) Tupishe bwana (tuna kikao) Eeeh (tuna kikao) Eeeh eeeh Kama nikinywa mi nakukera shauri zako (shauri zako) Kwani mifigo si ya kwangu mimi au ya kwako (au ya kwako) Kwani natumia ya kwangu hela au ya kwako (au ya kwako) Mtoto wa kiume punguza shobo utashikwa taa (aaaahh) Asa waonyeshe ka chupa halijakwisha baba Asa tingisha tingisha fanya ka unamwaga mwaga Asa waonyeshe ka chupa halijakwisha baba Asa tingisha tingisha fanya ka unamwaga mwaga Jamani sisi ni wa
Writer(s): Idd Abdul Juma Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out