歌词

Me nachekaga tu Wananiita mwalimu Oya me ndo mwalimu eeh Najulikana mwalimu Kwa sifa zangu mwalimu Nimegundua wanafunzi hawasomi sana Mwalimu asipo shika fimbo Na me ndio maana wanafunzi wangu bwana Me nawachanganya nikiwaonesha fimbo Kuna mwanafunzi wa kidigo huyo katokea Tanga Kaja shuleni kiunoni amevalia Shanga Na alivyo mtundu darasani anapiga misamba Nilivyotoa fimbo kumchapa akaanza kulia Aaaaah eeeeeh akaanza kutapatapa Teacher usichape huko nataka unichape hapa Na me nlivyo mwehu mtoto nikamkamata Nikamchapa chapa we viboko vya fastafasta Aaaaah eeeeh mtoto akaanza kulia Teacher usichapehivyo mwenzako me naumia Na ukichapa sana nitakosa cha kukalia Mana fimbo yako nashindwa kuvumilia Wananiita mwalimu Ooooh mwalimu Wananiita mwalimu Ooooh mwalimu Wananiita mwalimu Ooooh mwalimu Wananiita mwalimu Ooooh mwalimu Wananiita mwalimu Ooooh mwalimu Huyu mwanafunzi ni hatari Anakuja kusoma physics usiku mkali Mwenzenu me namkubali Ila mwalimu wa math anasema hatofika mbali Te ta te ta tatalilato Kuna mwanafunzi wa kiume anamletea ubishoo Sa kuna siku iliniuma nlivyowafuma stoo Nikamfanyia figisu mwanafunzi yule akapata four Sina unyonge nikiwa darasani Akifanya kosa namshikisha ukutani Kwanza nina mazonge mshahara hauonekani Nikipagawa napangisha chumba cha mtihani Huyu mwanafunzi ananitia mawenge Anasema eti Teacher fimbo yako bongebonge Anachukua kamera lengo lake anihonge Arekodi fimbo yangu itrend ka Teacher konde Wananiita mwalimu Ooooh mwalimu Wananiita mwalimu Ooooh mwalimu Wananiita mwalimu Ooooh mwalimu Nani? Nani? Wananiita mwalimu Ooooh mwalimu Nani? Nani? Wananiita mwalimu Ooooh mwalimu
Writer(s): Walter Chilambo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out