音乐视频

音乐视频

制作

出演艺人
Young Lunya
Young Lunya
表演者
KHALIGRAPH JONES
KHALIGRAPH JONES
表演者
作曲和作词
Omary Ally Mwanga
Omary Ally Mwanga
作曲
Brian Ouko Omollo
Brian Ouko Omollo
作曲
制作和工程
Rashid Shabani Rashid
Rashid Shabani Rashid
制作人

歌词

[Chorus]
Stupid (Wee, wee, wee)
[Verse 1]
Utafika ila haunikuti (Never, never, never)
Utaniona ila haunigusi (Noo, noo, noo)
Wakiipimaga wanakaa
Tukipiimaga wanajaa
Kwa sababu wao ni stupid (Hee!)
Utafika ila haunikuti (Hoo!)
Utaniona ila haunigusi (Hee!)
Wakiipimaga wanakaa
Tukipiimaga wanajaa
Kwa sababu wao ni stupid
[Verse 2]
Japo nina ghetto ila naishi kwa chati
Nikiamuaga kutokelezea utasema kabati (Drip, drip)
Na nikifika club nnavyoshobokewa utasema mchati (Pesa mingi)
Naball kiwalani ila nateka bebe kutoka masaki, changanua iyo hisabati
[Verse 3]
Moto ugusi (Wuu)
Kagoma kwenda mbuzi (Yeaah)
Skia unaponiona natazama nyama ujue hapo nina mchuzi (Moneey)
Chebukati cluise (Eeh)
Bloggers wanataka news (Eeh)
Wakinitukana nnavyojichekesha utasema napenda upuuzi
[Verse 4]
Na vile walikariri njia
Na wakisii wananijua nawabadilikia
Push michuma nabadili gia
Pesa za mama sio za kuringia
[Verse 5]
Fanya michezo ila usifanye mchezo na mi jumba bovu litakuangukia
Tukivuta sana tunavutia
Kimenuka sema tunanukia
[Verse 6]
Walipanga kutuchafua na tuko saafi
So kibajaji unafananisha na mwendokaasi
Ukifatilianga mambo ya kwako hatutakugasii (Walaah)
Wakileta mikunjo huwa tunawachoma na moto wa pasi (Kkrr)
Naenda kama best rapper in this town
Naenda kama king coz I own this crown
Naenda kama legend naenda kama drizzy
Au wizzy naweza kwenda kama Chris Brown
[Verse 7]
Na ndo mana naweka switch we huvai
Naenda kama soo clean so fly
Naenda kama kiss to the ladies
[Verse 8]
Wahuni wanasema naenda kama vile mtu ambae hafai, na pia
Najua hunipendi ila its funny bro
Mwenzako nishahama nyumbani though
Ukinionaga si unapata homa inabidi utembee na panadol
[Verse 9]
Ana ana hana doo
We coming for you “panya road”
Ndomana tulikukataa (Kwa sababu we ni stupid)
[Verse 10]
Utafika ila haunikuti (Never, never, never)
Utaniona ila haunigusi (Noo, noo, noo)
Wakiipimaga wanakaa
Tukipiimaga wanajaa
Kwa sababu wao ni stupid (Hee!)
Utafika ila haunikuti (Hoo!)
Utaniona ila haunigusi (Hee!)
Wakiipimaga wanakaa
Tukipiimaga wanajaa
Kwa sababu wao ni stupid
[Verse 11]
Kwa sababu Hao ni stupid
Out with the old man I’m back on my new shit
Me nalindwa na Mungu shetani Haniguzi
Marafiki sitaki juu wengi ni kupe
[Verse 12]
Nikona ideas to mob sana
Na incase hii kitu ikue boring then pia ntaimbia tu hosanna
Pia me naweza waibia ma doo bana
Nimechoka kusaidia mabro kama (Waa!)
Asanti ya punda mateke so sioni kama ntaingia na uko Canaan
[Verse 13]
Pressed I can piss on a record
And I dont gotta use no Effort (Joones)
Lunya, kuna uwezekano hawa ma **** tuwafunge ma leso (Yess)
Buda, if I wanna bring it be assured ni ya leo si ya kesho (What else?)
Judas man i find it Funny wakinifunza vile nta maneuver Ghetto (Skrrr)
[Verse 14]
I'm a clapback king nobody told you ati opinion yako ina matter (Hakunaa)
Comparison munamke ni bonoko me nikishaipiga tapo na ngada
Paparazzi ina pararrira mingi better ukulie vako ma smarta
Toka siku gani mumeona wakilinganisha passo na passat
[Bridge]
Lunya kama vipi brother mbona vijana wamejaa na gas mingi
Kila track niuchora ina maana been generous kupatiana ma collabo lakini na pass mingi
Si ma **** wengi me huwa na trust-ingi
Only know how to keep it real si Act -ingi
I dont give a **** if you thinking na kaa stingy
So mkubali M’ngore I just bring it
[Verse 15]
So how we rapping is ruthless snapping
In the booth and masterd this new tricks clapping
Is useless laugh as do-do this Cassidy's blue print
Thats what i use when I blast on new kids
Oh what really what happend to you kid?
Dreams stay valid cause they lucid
Oh snap is you dumb is you stupid stupid
Think they had enough man dueces
Written by: Brian Ouko Omollo, Omary Ally Mwanga
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...