制作
出演艺人
Zuchu
声乐
作曲和作词
Zuhura Othman Soud
词曲作者
制作和工程
Mr. LG
制作人
歌词
[Verse 1]
Dullah, dullah, dullah anataka kula
Dullah hataki andazi anataka kula
Dullah hataki viazi anataka kula
Dullah, dullah, dullah anataka
[PreChorus]
Basi kitendawili (Tega)
Kitendawili (Tega)
Kitendawili (Tega)
Kitendawili (Tega)
[PreChorus]
Kitu flat kitu lain katikati alie na maini
Kitu flat kitu lain katikati alie na maini
[Chorus]
Chapati, chapati
Chapati, chapati
Chapati, chapati
Chapati, chapati
[Chorus]
Chapati, chapati
Chapati, chapati
[Verse 2]
Kwani umeiweka nini mi naipenda
Kwani umeiweka nini mi naitaka hiyo
Kwani umeiweka nini mi naipenda
Kwani umeiweka nini mi naitaka
Inateleza tamu inateleza
Inateleza tamu inateleza
[PreChorus]
Basi kitendawili (Tega)
Kitendawili (Tega)
Kitendawili (Tega)
Kitendawili (Tega)
[PreChorus]
Kitu flat kitu lain katikati alie na maini
Kitu flat kitu lain katikati alie na maini
[Chorus]
Chapati, chapati
Chapati, chapati
Chapati, chapati
Chapati, chapati
Written by: Zuchu Zuchu, Zuhura Othman Soud