音乐视频

音乐视频

制作

出演艺人
GENIUSJINI X66
GENIUSJINI X66
表演者
Adam Maingwa
Adam Maingwa
说唱
作曲和作词
Adam Maingwa
Adam Maingwa
作曲
制作和工程
Adam Maingwa
Adam Maingwa
母带工程师

歌词

I feel am going crazy oh baby
For this love am going mental oh baby
Crazy over crazy oh baby
As you know nakupenda baby
[Verse 1]
I don't wanna lose you
Because you give me everything I want
I know you got me now
I don't wanna lose you
[PreChorus]
Mapenzi yako yamefanya
Iwe rahisi kukupa moyo wangu
Kwenye mamia nakuona wewe
Hata nifumbe macho nakuona wewe
[Chorus]
Nakuona wewe tu
Wewe, wewe, wewe
Nakutaka wewe tu
Wewe, wewe, wewe
[Verse 2]
Kama mau linavyostawi
Utamu wako chips mayai
Nimeshaapa moyo siugawi
Aah moyo siugawi
[Verse 3]
Kama ni zari la mentali
Nimekupata wewe kihalali
Kama safari twende Dubai
[PreChorus]
Mapenzi yako yamefanya
Iwe rahisi kukupa moyo wangu
Kwenye mamia nakuona wewe
Hata nifumbe macho nakuona wewe
[Chorus]
Nakuona wewe tu
Wewe, wewe, wewe
Nakutaka wewe tu
Wewe, wewe, wewe
Written by: Adam Maingwa
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...