制作

出演艺人
Anjella
Anjella
表演者
作曲和作词
Abdu Hamid Said
Abdu Hamid Said
词曲作者
Anjelina George
Anjelina George
词曲作者

歌词

[Verse 1]
Kwanza vitabu vinasema ishi na mimi kwa akili
Mwanamke kiumbe jasiri
Mrembo alafu nina akili
Akiniponyoki kitu hata nishike mawili
[Verse 2]
Najua una mabavu na nguvu unanishinda
Na mara nyingi unanionaga mjinga
Lakini nakupinga hata uwe na nguvu vipi
Hauwezi kubeba mimba
[Verse 3]
Ni kweli nimetoka kwenye ubavu wa kushoto
Lakini me ndo nakuletea watoto
So you better respect women
Women, women, women
[Verse 4]
Ukitaka kujua me ni nani muulize Samson
Tumeumbwa me na wewe ila me ndo champion
Nabeba mimba miezi tisa nazaa kwa uchungu
I say you better respect
[Chorus]
Respect, respect
Respect, respect
Respect, respect
Respect
[Verse 5]
I say you better respect
Respect, respect
Respect, respect
Respect, respect
Respect
[Verse 6]
Me nimekutoa kwenye ubavu wa kushoto
Na ndo nafanya we unapata watoto
Hakuna cha kunipa changamoto
Naweza nikapika chips zege ukileta kokoto
[Verse 7]
Mwanaume bwana ndo kiumbe kamili
Anakula kwa jasho na ana mikono miwili
Kabla ujanidharau hebu kwanza fikiri
Mtu nna shingo moja alafu nna vichwa viwili
[Verse 8]
Mwanaume kwenye dunia analeta unafuu
Kagundua gari usitembee kwa miguu
Ndege upite juu kwa juu
Simu uwasiliane na watu
[Verse 9]
Uwanaume ni mgumu usijidanganye
Kuna wanaume wameleft na ilibidi tuongozane
So you better respect man
Ila ukijikuta kanye haya kanye
[Chorus]
Respect, respect
Respect, respect
Respect, respect
Respect
[Chorus]
I say you better respect
Respect, respect
Respect, respect
Respect, respect
Respect
Written by: Abdu Hamid Said, Anjelina George
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...