音乐视频

音乐视频

制作

出演艺人
Joefes
Joefes
表演者
作曲和作词
Joseph Nyamweya
Joseph Nyamweya
词曲作者
制作和工程
Vic West
Vic West
制作人

歌词

Verse 1:
Niko sure akijua wife atajam
Hii Riba ya kisure Kejani usicome
Niko sure huezi jua
Unataka some aki wife atajam
Hadi ulibeba sure
Mother in law aai ananitaka
Venye anainsist ni ka atanipatia
Mother in law si amewaka
Venye anainsist ni ka kitaturamba
Chorus:
Mother in law
Mother in law
Mother in law
Mother in law
Mother in law
Verse
Mother in law ashanitext
Ashanishow alinibuyia vest
Mother in law hajali case
Ashanishow ati mapema ndo best
Mother in law si ako na taste
Ati venye namkunywa anikalie kwa face
Mother in law hizi ndo gani
Ati mi humfanya chini akue maji ka dasani
Niko na dilemma juu hii december
Ashabook flight Minnesota
Mother in law kumbe mother wa kambo
Mother in law na mipango za kando
Chorus:
Mother in law
Mother in law
Mother in law
Mother in law
Mother in law
Verse
Bibi anapenda rungu kama moi
Mamake akaamua kufuata nyayo za mtoi
Ati kula kuku na kirafanga my boi
We acha Misi Kibera unigeuza toi
Anataka kudivorce baba brayo
anadai Ben 10 "mother in law"
Unataka nizame kwa kisima
Aache kunipima "we mother in law"
Wife amenitosha ako na figa
Paka ananipea design minashiba
But hapo kwa mother in law kuna na shida
Ni mwizi Anataka kuniiba
Chorus:
Mother in law
Mother in law
Mother in law
Mother in law
Mother in law
Joefes:
Niko sure akijua wife atajam
Hii Riba ya kisure Kejani usicome
Niko sure huezi jua
Unataka some aki wife atajam
Hadi ulibeba sure
Mother in law aai ananitaka
Written by: Joseph Nyamweya
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...