制作

出演艺人
JOEL LWAGA
JOEL LWAGA
表演者
作曲和作词
JOEL LWAGA
JOEL LWAGA
词曲作者

歌词

[Verse 1]
Hello, mimi naitwa Joel Lwaga
Mimi ni muimbaji wa nyimbo za injili kutoka East Africa, Tanzania
I'm a recording and performing artist all the way from East Africa Tanzania
Ifuatayo ni album yangu
Inayoitwa Good To Go
Tayari
[Verse 2]
Kupitia nyimbo zilizo katika album hii
Tutamshukuru Mungu kwa yale aliyokwisha fanya tayari
Tayari
[Verse 3]
Lakini pia tutamwamini kwa yale ambayo hatujayaona kwa macho ya dame na nyama
Twende tayari
[Verse 4]
Na tutavyoanza kuondoka kuelekea tutakavyoishi hata kama bado hatujayaona
Tayari
Twende tayari
[Verse 5]
Inawezekena kuna vitu unahisi haustahili kuvipata
Tayari
Lakini nataka niku-introduce kwaku Mungu anayetoa vitu pasipo qualifications
Twende tayari
Pasipo vigezo
Written by: Joel Lwaga
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...