制作
出演艺人
King Kaka
表演者
作曲和作词
Kennedy Ombima
词曲作者
制作和工程
Ihaji
制作人
歌词
[Verse 1]
Sahii nina Rolex 'power face' kwa mkono
My success inawapea sour taste kwa mdomo
They wanted to X me
Mama kwa jikoni praying for our next meal
[Verse 2]
Tambi zinaco-co-compete na garbage
Rookie anago-go-go speed ya Mbappe
[Verse 3]
Eastlando my birthplace
I keep telling you I came from a bad place
Self made deep state huko ndani
Wife aliput up time only my mom could love me
Almost criminal heavens could hug me
Ati tei zinauzwa kwa bars ni therapy?
Tell them nadeliver bars ni therapy!
[Chorus]
Ebu kumbuka ulikotoka (Ulikotoka)
Najua hauwezi taka kurudi ulikotoka (Ulikotoka)
Basi kumbuka ulikotoka (Ulikotoka)
Najua hauwezi taka kurudi ulikotoka (Ulikotoka)
[Bridge]
Basi pambana, pambana, pambana
Zidi pambana, pambana, pambana
Basi pambana, pambana, pambana
Zidi pambana basi pambana
Basi pambana, pambana, pambana
Zidi pambana, pambana, pambana
Basi pambana, pambana, pambana
Zidi pambana basi pambana
[Verse 4]
Zone niko, niko free kama dera
Hatutoki hadi ijae wadhi kamagera
Popular uliza mi ni msee wa who?
[Verse 5]
Time zingine singejaza ata nameless
Haujui mi ni msee nado?
Wisdom matime ni kusay less
Meza nakaa ni only ka una jina
I still keep Jolly ka Angelina
Niko Emirates na Ben White kwa Jersey
Airforce ni Walter white na Jessy
Ati tei zinauzwa kwa bars ni therapy?
Tell them nadeliver bars ni therapy!
[Chorus]
Ebu kumbuka ulikotoka (Ulikotoka)
Najua hauwezi taka kurudi ulikotoka (Ulikotoka)
Basi kumbuka ulikotoka (Ulikotoka)
Najua hauwezi taka kurudi ulikotoka (Ulikotoka)
[Bridge]
Basi pambana, pambana, pambana
Zidi pambana, pambana, pambana
Basi pambana, pambana, pambana
Zidi pambana basi pambana
Basi pambana, pambana, pambana
Zidi pambana, pambana, pambana
Basi pambana, pambana, pambana
Zidi pambana basi pambana
[Outro]
Manzee success can be so far yet so near
Kimbiza my friend katajipa I tell you katajipa
King Kaka, Masauti
Kubwaa
Basi pambana, pambana, pambana
Written by: Kennedy Ombima

