制作
出演艺人
Eljjah
表演者
Eljjah Hex
表演者
Ozay
表演者
作曲和作词
Eljjah
作曲
Eljjah Hex
作曲
Eliaki Njumba
作曲
制作和工程
Özay Music
混音工程师
歌词
Oh oh yanaumiza
Yanaumiii yanaumiza
Yanaumiii
Eljjah daisho
Bora ungeniambia sikupendi
Oh sikupendi
Bora ungeniambia sikutaki
Ah ah mmmmh mmh
Lakini umeamua kunisaliti mi
Oh kunisaliti mi
Na rafiki yangu wa karibu
Ohuhohuhoh
Haya mapenzi yanaumiza
Yanaumiii yanaumiza
Yanaumiii yanaumiza
Yanaumiii yanaumiza
Haya mapenzi yanaumiza
Yanaumiii yanaumiza
Yanaumiii yanaumiza
Yanaumiii oh
Sijawahi kufikiria wewe
Oh oh oh wewe
Ungenifanya hivi oh hivi ah
Ulikuwa kama ndugu kwa upande wangu
Oohh kwa upande wangu eh
Lakini siyo kwa kunifanyia hivi
Yeah eh
Oh haya mapenzi yanaumiza
Yanaumiii yanaumiza
Yanaumiii yanaumiza
Yanaumiii yanaumiza
Haya mapenzi yanaumiza
Yanaumiii yanaumiza
Yanaumiii yanaumiza
Yanaumiii uh oh
Written by: Eliaki Njumba, Eljjah, Eljjah Hex