音乐视频

音乐视频

制作

出演艺人
Sauti Sol
Sauti Sol
声乐
Bien-aime Baraza
Bien-aime Baraza
声乐
Aaron Rimbui
Aaron Rimbui
声乐
Willis Austin Chimano
Willis Austin Chimano
声乐
Delvin Savara Mudigi
Delvin Savara Mudigi
声乐
Polycarp Ochieng Otieno
Polycarp Ochieng Otieno
原声吉他
Lydia Ndwiga
Lydia Ndwiga
伴唱
Naema Murindi
Naema Murindi
伴唱
Webi
Webi
伴唱
作曲和作词
Aaron Rimbui
Aaron Rimbui
作曲
Delvin Savara Mudigi
Delvin Savara Mudigi
作曲
Willis Austin Chimano
Willis Austin Chimano
作曲
Bien Aime Alusa
Bien Aime Alusa
作曲
Polycarp Ochieng Otieno
Polycarp Ochieng Otieno
作曲
制作和工程
Sauti Sol
Sauti Sol
制作人
Polycarp Ochieng Otieno
Polycarp Ochieng Otieno
制作人

歌词

[Verse 1]
Bwana ni mwokozi wangu, tena ni kiongozi wangu
Ananipenda leo kuliko jana
Baraka zake hazikwishi, si kama binadamu habadiliki
Ananipenda leo kuliko jana
[Chorus]
Kuliko jana
Kuliko jana
Yesu nipende leo kuliko jana
Kuliko jana
Kuliko jana
Yesu nipende leo kuliko jana
[Verse 2]
Nakuomba Mungu, uwasamehe
Wangalijua jinsi unavyonipenda mimi wasingenisema
Na maadui wangu nawaombe, maisha marefu wazidi kukuona ukinibariki
Ujue binadamu ni watu waajabu sana
Walimkana Yesu mara tatu kabla jogoo kuwika
Ujue binadamu ni watu waajabu sana
Walimsulubisha Yesu Messiah bila kusita
[Chorus]
Oh na Bwana ni mwokozi wangu, tena ni kiongozi wangu
Ananipenda leo kuliko jana
Baraka zake hazikwishi, si kama binadamu habadiliki eh
Ananipenda leo kuliko jana
[Chorus]
Kuliko jana
Kuliko jana
Yesu nipende leo kuliko jana
Kuliko jana
Kuliko jana
Yesu nipende leo kuliko jana
[Bridge]
Wewe ndio nategemea, kufa kupona baba nakutegemea (Amen)
Chochote kitanikatsia, kuingia mbinguni utaniondolea (Oh-oh yeah)
Wewe ndio nategemea (Amen), kufa kupona baba nakutegemea (Oh-oh-oh)
Chochote kitanikatsia, kuingia mbinguni utaniondolea (Eh wewe ndio nategemea)
Wewe ndio nategemea, kufa kupona baba nakutegemea (Eh Bwana ah)
Chochote kitanikatsia, kuingia mbinguni utaniondolea (Eh maisha yangu yote)
Wewe ndio nategemea (Kwa nguvu zangu zote nakutegemea), kufa kupona baba nakutegemea (Nakutegemea)
Chochote kitanikatsia, kuingia mbinguni utaniondolea (Oh-oh-oh-oh)
[Chorus]
Na Bwana ni mwokozi wangu (Amen), na tena ni mkombozi wangu (Amen)
Ananipenda (Amen) leo kuliko jana (Amen)
Baraka zake hazikwishi (Amen), si kama binadamu habadiliki (Amen)
Ananipenda leo kuliko jana (Eh-eh-yeah)
[Chorus]
Oh kuliko jana
Kuliko jana (Kuliko jana)
Yesu nipende leo kuliko jana
Kuliko jana (Kuliko jana)
Kuliko jana (Uh kuliko jana)
Yesu nipende leo kuliko jana
[Bridge]
Wewe ndio nategemea (Wewe), Kufa kupona baba nakutegemea (Wewe)
Chochote kitanikatsia, kuingia mbinguni utaniondolea (Eh-eh)
Wewe ndio nategemea, kufa kupona baba nakutegemea (Nakutegemea)
Chochote kitanikatsia, kuingia mbinguni utaniondolea (Amen)
[Chorus]
Oh na Bwana ni mwokozi wangu, tena ni mkombozi wangu (Amen)
Ananipenda leo kuliko jana (Amen)
Baraka zake hazikwishi (Amen), si kama binadamu habadiliki (Amen)
Ananipenda (Amen), leo kuliko jana (Amen)
Kuliko jana
Kuliko jana
Yesu nipende leo kuliko jana
Written by: Bien Aime Alusa, Bien-aime Baraza, Delvin Savara Mudigi, Mathias Ramson, Nikolaos Giannulidis, Philipp Klemz, Polycarp Ochieng Otieno, Senta Delliponti, Willis Austin Chimano
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...