音乐视频

Dr. Sarah K - Liseme (Official Video)for Skiza DIAL *837*64#
观看 {artistName} 的 {trackName} 音乐视频

制作

出演艺人
Dr Sarah K
Dr Sarah K
表演者
作曲和作词
Dr Sarah K
Dr Sarah K
词曲作者

歌词

Hamna jambo Yeye asiloliweza Kwani ni jambo, lipi hilo Yeye asiloliweza Kwani ni jambo, lipi hilo Yeye asiloliweza Liseme, liseme Litaje, litaje Kwani ni jambo lipi hilo yeye asiloliweza mmhh... Kwani ni jambo lipi hilo yeye asiloliweza Yeye ni Baba wa yatima Yeye ni mume wa wajane Kwani ni jambo lipi hilo yeye asiloliweza Yeye ni Baba wa yatima Yeye ni mume wa wajane Ooh. kwani ni jambo lipi hilo yeye asiloliweza Ooh. Liseme, liseme Litaje, litaje Kwani ni jambo lipi hilo yeye asiloliweza (Sema wewe) kwani ni jambo lipi hilo yeye asiloliweza Yeye ni mponyaji Yeye ni mkarimu Mlinzi, mfariji wa ajabu Kwani ni jambo lipi hilo yeye asiloliweza Yeye ni mponyaji Yeye ni mkarimu Mlinzi, mfariji wa ajabu Kwani ni jambo lipi hilo yeye asiloliweza Liseme, liseme Litaje, litaje Kwani ni jambo lipi hilo yeye asiloliweza Kwani ni jambo lipi hilo yeye asiloliweza (Mama liseme) Liseme, liseme Litaje, litaje Kwani ni jambo lipi hilo yeye asiloliweza Kwani ni jambo lipi hilo yeye asiloliweza (Baba liseme) Liseme, (Mama liseme) liseme Litaje, litaje Kwani ni jambo lipi hilo yeye asiloliweza (Kwani ni jambo) kwani ni jambo lipi hilo yeye asiloliweza (Nauliza kwani eeh.) Kwani ni jambo lipi hilo yeye asiloliweza (Kwani ni lipi hilo) Kwani ni jambo lipi hilo yeye asiloliweza Ooh...
Writer(s): Sarah Kiarie, Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out