歌词

ASHUKURIWE MWENYEZI
KILINDI CHA MOYO WANGU ,KIMEJAA MANENO YA KUSHUKURU
ASHUKURIWE MWENYEZI, ANAYEKETI KATIKA PATAKATIFU
USIKU MCHANA MWANZO WA MWAKA MPAKA MWISHO WAKE, NI MUNGU AKETIYE JUU ANAYENILINDA
MIDOMO YANGU ITAIMBA MANENO YA KUSHUKURU, ASANTE NAKUSHUKURU BWANA WA MBINGU
1. ANAYEWALISHA NDEGE WA ANGANI, NDIYE ANAYE SHUSHA NEEMA, ANASHUSHA KWA VIUMBE VYOTE
KILINDI CHA MOYO WANGU, KIMEJAA MANENO YA KUSHUKURU
ASHUKURIWE MWENYEZI, ANAYEKETI KATIKA PATAKATIFU
USIKU MCHANA MWANZO WA MWAKA MPAKA MWISHO WAKE, NI MUNGU AKETIYE JUU ANAYENILINDA
MIDOMO YANGU ITAIMBA MANENO YA KUSHUKURU, ASANTE NAKUSHUKURU BWANA WA MBINGU
2. JUA NA MWEZI NAZO NYOTA ZA ANGANI, NDIYE ALIYE ZIRATIBISHA, AKANIPA ZAWADI YA MAISHA
KILINDI CHA MOYO WANGU ,KIMEJAA MANENO YA KUSHUKURU
ASHUKURIWE MWENYEZI, ANAYEKETI KATIKA PATAKATIFU
USIKU MCHANA MWANZO WA MWAKA MPAKA MWISHO WAKE, NI MUNGU AKETIYE JUU ANAYENILINDA
MIDOMO YANGU ITAIMBA MANENO YA KUSHUKURU, ASANTE NAKUSHUKURU BWANA WA MBINGU
Written by: RAY UFUNGUO
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...