歌词
[Chorus]
Asante Elohim
Wewe ni Mungu unaetenda
Asante Elohim
Wewe ni Mungu, ni Mungu (Unaetenda)
[Chorus]
Asante Elohim
Wewe ni Mungu unaetenda
Asante Elohim
Wewe ni Mungu, ni Mungu (Unaetenda)
[Chorus]
Asante Elohim
Wewe ni Mungu unaetenda
Asante Elohim
Wewe ni Mungu, ni Mungu (Unaetenda)
[Chorus]
Asante Elohim
Wewe ni Mungu unaetenda
Asante Elohim
Wewe ni Mungu, ni Mungu (Unaetenda)
[Verse 1]
Tumetembea na wewe
Toka mwanzo uko pamoja nasi
Hapa tulipo ni kwanguvu zako
Asante Elohim
[Verse 2]
Ulitangulia mbele
Bila wewe tusingeweza
Hapa tulipo ni kwa nguvu zako
Asante Elohim
[Verse 3]
Tumetembea na wewe
Toka mwanzo uko pamoja nasi
Hapa tulipo ni kwanguvu zako
Asante Elohim
[Verse 4]
Ulitangulia mbele
Bila wewe tusingeweza
Hapa tulipo ni kwa nguvu zako
Asante Elohim
[Verse 5]
Mabaya yaliinuka
Lakini hayakutupata
Ulitutetea, ulitushindia
Asante Elohim
[Verse 6]
Ndio maana tunakusifu
Umetenda makuu kwetu
Umetutetea, umetushindia
Asante Elohim
[Verse 7]
Mabaya yaliinuka
Lakini hayakutupata
Ulitutetea, ulitushindia
Asante Elohim
[Verse 8]
Ndio maana tunakusifu
Umetenda makuu kwetu
Umetutetea, umetushindia
Asante Elohim
[Refrain]
Tunashukuru ee Baba (Asante Elohim)
Mkono wako umetubeba (Asante Elohim)
Tunashukuru ee Baba (Asante Elohim)
Mkono wako umetubeba (Asante Elohim)
[Verse 9]
Mabaya yaliinuka
Lakini hayakutupata
Ulitutetea, ulitushindia
Asante Elohim
[Verse 10]
Ndio maana tunakusifu
Umetenda makuu kwetu
Umetutetea, umetushindia
Asante Elohim
Written by: Elisha Gurlat