制作

出演艺人
Clouds Media
Clouds Media
表演者
作曲和作词
Clouds Media Group
Clouds Media Group
作曲
制作和工程
Aloneym
Aloneym
制作人

歌词

Tangu siku ya kwanza uliponisikia,
Uliniweka Moyoni,
Tofuati na wengi,
Daima nikadhamiria,
Kukutumikia,
Kuliweka hadharani,
Kopa letu la msingi,
Umenipa tiki ya uhakika,
Nami sina budi,
Nami sina budi kuwajibika,
Ninakupa vinavyohitajika,
Ushirika wako ni wa uhakika,
Unaishi Ndani yangu nami naishi ndani yako pia,
Mpaka milele,
Tunaverify upendo,
Tunaverify matendo,
Tunaverify ushkaji, upambanaji
Tunaverify upendo,
Tunaverify matendo,
Tunaverify ushkaji, upambanaji
Ahadi yangu milele,
Ni kukufungulia Dunia.
Clouds 24, TUMEKUVERIFY!!!
Written by: Clouds Media Group
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...